Asante Waziri Mkuu Majaliwa, kwa kututembelea Mbeya

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,259
Waziri Mkuu asante kwa kuwa mgeni wetu, Mbeya.
Mgeni akikutembelea lazima watoto watapona.

Mara ya mwisho Kassim Majaliwa kuja Tukuyu tunakumbuka sana, ilikuwa kuiwakilisha serikali wakati ule alipouwawa John Mwankenja, Mwenyekiti wa CCM Rungwe.

Kassim Majaliwa wakati huo alikuwa Waziri Mdogo TAMISEMI.
Hatutaisahsu faraja aliyoitoa wakati ule.

Lakini zito zaidi ni Waziri Mkuu kuvunja "taboo" ya viongozi wa serikali kutoitembelea Mbeya kwa muda mrefu.

Sisi wananchi tunapata faraja katika hili la kuanza kutembelewa na viongozi wa juu kiserikali.
Mungu awabariki.
 
Hata kama PM Majaliwa angehamishia makao yake Mbeya au huko Tukuyu unakoishi wewe Lole Gwakisa hutapata impact yeyote zaidi ya kupigwa king'ora. Majaliwa ni debe tupu hana impact ya chochote
 
Viongozi wa awamu hii hawana msaada wowote kwa wananchi,wanazurura tu lakini hawajui kinachoendelea
 
Huelewi waliyopitia wananchi wa Mbeya katika miaka ya karibuni.
Miaka 60 ya Uhuru hakuna maendeleo , kutembelewa na waziri mkuu hakuleti tofauti yoyote, kule kwao Lindi vijijini, luangwa, nachingwea na liwale na kilwa Kuna matatizo ya kukosa maji na mazao hayana soko ameshindwa kuyatatua ataweza kwenu?
 
Waziri Mkuu asante kwa kuwa mgeni wetu, Mbeya.
Mgeni akikutembelea lazima watoto watapona.

Mara ya mwisho Kassim Majaliwa kuja Tukuyu tunakumbuka sana, ilikuwa kuiwakilisha serikali wakati ule alipouwawa John Mwankenja, Mwenyekiti wa CCM Rungwe.
Kassim Majaliwa wakati huo alikuwa Waziri Mdogo TAMISEMI.
Hatutaisahsu faraja aliyoitoa wakati ule.

Lakini zito zaidi ni Waziri Mkuu kuvunja "taboo" ya viongozi wa serikali kutoitembelea Mbeya kwa muda mrefu.
Sisi wananchi tunapata faraja katika hili la kuanza kutembelewa na viongozi wa juu kiserikali.
Mungu awabariki.
Yaani Gwakisa umeandika upupu tu.badala ya kuonyesha ujio wa Pm kuwa umezaa hiki na kile...wewe lengo lako ni vingola au suti za wageni. Yaani mtu wa Tukuyu unandika vitu cheap kama unaishi nchi ya kusadika?
Barabara za mwakaleli katumba; Lwangwa_ tukuyu, barabara za kuunga ile je- kyela na tkuyu zikiwa zenye hali mbaya had wananchi kutumia kitepu tepu kuvuka mito mikubwa. Pm hajaziongelea ila wewe unamshukuru. Wewe ni msomi uliokombolewa kweli??
 
Nyie ndio watu wajinga wajinga msioelewa mantiki ya Lole Gwakisa.
Kama kwako kichwa ni kigumu kuelewa jiulize maswali yafuatayo.
Mkapa alitembelea mara ngapi Mbeya?
Pinda naye
Kikwete alitembelea marangapi Mbeya
Lowassa je?
Maguguli alitembelea naye marangapi?
Na Majaliw je?

Ukijaza viongozi hao wote ziara zao kwenye vidole vya kiganja over 25 years utaelewa tu.

Kutembelewa ni pamoja na kukagua maendeleo.
Leo Kikwete ametaka Chuo Kikuu DSM kupewa eka zsidi ya 500 kujenga kampasi ya Mbeya, alipotembelea Mbeya.

Kama unakichwa kigumu si rahisi kuelewa mantiki ya mada.
 
Duh shida ya Mbeya ni mbali sana na kila kitu wakati mwingine hata mtu husahau kama ipo ni kama Songea tu, kila kitu kinaishia Iringa, …
 
Waziri Mkuu asante kwa kuwa mgeni wetu, Mbeya.
Mgeni akikutembelea lazima watoto watapona.

Mara ya mwisho Kassim Majaliwa kuja Tukuyu tunakumbuka sana, ilikuwa kuiwakilisha serikali wakati ule alipouwawa John Mwankenja, Mwenyekiti wa CCM Rungwe.
Kassim Majaliwa wakati huo alikuwa Waziri Mdogo TAMISEMI.
Hatutaisahsu faraja aliyoitoa wakati ule.

Lakini zito zaidi ni Waziri Mkuu kuvunja "taboo" ya viongozi wa serikali kutoitembelea Mbeya kwa muda mrefu.
Sisi wananchi tunapata faraja katika hili la kuanza kutembelewa na viongozi wa juu kiserikali.
Mungu awabariki.
Mbeya na CCM mna unafiki na wala hamna upendo wa dhati kati yenu
 
Waziri Mkuu asante kwa kuwa mgeni wetu, Mbeya.
Mgeni akikutembelea lazima watoto watapona.

Mara ya mwisho Kassim Majaliwa kuja Tukuyu tunakumbuka sana, ilikuwa kuiwakilisha serikali wakati ule alipouwawa John Mwankenja, Mwenyekiti wa CCM Rungwe.
Kassim Majaliwa wakati huo alikuwa Waziri Mdogo TAMISEMI.
Hatutaisahsu faraja aliyoitoa wakati ule.

Lakini zito zaidi ni Waziri Mkuu kuvunja "taboo" ya viongozi wa serikali kutoitembelea Mbeya kwa muda mrefu.
Sisi wananchi tunapata faraja katika hili la kuanza kutembelewa na viongozi wa juu kiserikali.
Mungu awabariki.
Asante hiyo haina kazi?
Waziri mkuu ni wajibu wake kutembelea sehemu yoyote ile hapa nchini na siyo hisani.

Analipwa kwa kazi hiyo na ameapa kufanya kazi hiyo.
 
Back
Top Bottom