Asante serikali kwa kuwapanga wamachinga, lakini je umejipanga kukabiliana na uhalifu mpya mtaani?

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
2,982
4,457
Kwanza nampongeza serikali kwa uamuzi iliofanya wa kuweka miji safi na kuona mbele. Ni jambo jema sana ila kwenye kuondoa vibanda pia nimeona hakuna fair kabisa.

Baada ya mpango huo je wale watakaorudi mtaani serikali itachukua hatua gani kama uhalifu ukiongezeka? Je imejipanga kukabiliana nao au huu mzigo ni kwa raia wenyewe?
 
Back
Top Bottom