Asante sana wana Arusha

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Leo hii sisiem wamelazimika kuhutubia miti na nyasi kwenye kampeini za udiwani kata ya murieti baada ya wananchi kuwasusa,asanteni sana wana wa A town
62b4c403ad8982db596afb27b932d657.jpg
 
Wale wavuvuzela watakuja na hoja kama:-

1. Hizo picha siyo ya sasa. Ni za zamani sana wakati chama hakijaimarishwa Arusha.
2. Picha hiyo ilikuwa kabla ya mkutano. Ndiyo kwanza walikuwa wanafunga Mic kwa maandalizi ya mkutano. AU.
3.. Photoshop. AMA:-

4. Haikuwa kwenye kampeni.

5: Mpiga picha alikuwa wa CHADEMA, amekata audience.

Ili mradi vituko kama vya madenge!
 
Jamaa wewe umewaelewa chichiyemu vizuri sana
 
Wale wavuvuzela watakuja na hoja kama:-

1. Hizo picha siyo ya sasa. Ni za zamani sana wakati chama hakijaimarishwa Arusha.
2. Picha hiyo ilikuwa kabla ya mkutano. Ndiyo kwanza walikuwa wanafunga Mic kwa maandalizi ya mkutano. AU.
3.. Photoshop. AMA:-

4. Haikuwa kwenye kampeni.

5: Mpiga picha alikuwa wa CHADEMA, amekata audience.

Ili mradi vituko kama vya madenge!
muriet hamnaga hiyo migomba acha kudanganya watu
mbona picha imekata audience..asee mbona mnajitekenya na kucheka wenyewe
Unampiga picha anayeongea ili tuamini propaganda yako

Mule mule!
 
Danganya wajinga wenzio, hata wana CCM wasiwepo? Viongozi mbele? Cdm mnakufa taratibu acha dawa iwaingie
 
Back
Top Bottom