figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Leo wakati Times FM wakifanya Mahojiano na Rehema aka Ray C, nmefurahi kuona baadhi ya Watangazaji wakiendelea kupata habari Mbashara kutoka katika Kurasa mbalimbali za JamiiForums za Facebook, Twitter, Instagram na JamiiForums yenyewe. Kumbe tupo wengi tunapitia huku!
Nmefurahi sana kwani inaonesha hata vyombo vya habari vinathamini mchango wa JamiiForums katika habari zao. asante sana Mokobiashara aka One B - Radio Presenter/ MC/ Producer wa TIMES FM TZ.
Keep it Up. Mungu akujalie na kukubariki katika kazi zako.
Mungu ilinde JamiiForums