Asante sana Sadifa Juma Khamis, umelibeba vyema bango la UVCCM

wakuu mwenye updates za kinachoendelea kwenye kikao cha jumuiya ya wazazi ccm atuletea hapa tafadhali
 
Kisha Yesu akawaambia,yeye asiyekuwa na dhambi na awe wa kwanza kumrushia jiwe,na wote wakatawanyika wakisutwa na dhamira zao. Ndipo Yesu akamuuliza tena mwanamke ,wako wapi washitaki wako?je hakuna hata mmoja aliyekuhukumu!
 
CCM haiwezi kamwe kuendelea kuwepo bila RUSHWA, UFISADI NA HILA, vinginevyo inakufa. Hizo ndizo nguzo tatu za CCM , maarufu kwa jina la UTATU WA CCM.
 
Back
Top Bottom