Asante sana Mbowe, umeibeba CHADEMA hadi sasa imekua. Kapumzike

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,900
95,162
Mwenyekiti wa CHADEMA na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika, mheshimiwa Mbowe ametangaza kustaafu.

Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya uwenyekiti wa chama na kumkabidhi kijiti mwana CHADEMA mwenye uwezo.

Kama Taifa tumepokea maamuzi yake kama binadamu tunaamini ametimiza wajibu wake wa kuilea na kuhakikisha CHADEMA imekua na kuanza kuwa tishio.

Screenshot_20210605-214025.jpg
 
Na huo ndio mwisho wa Chadema!
Mwendazake alitenga Trilioni kadhaa za manunuzi

Alitumia akina Sabaya na Bashite kuteka, kukata mapanga wanachadema

Mwendazake amepotea, Chadema bado ipo

Sabaya ndio huyo jana amekalia debe kwa mara ya kwanza kuangalia kama amebeba vitu kwenye makalio si unajua mahabusu

Nitakuwa wa mwisho kuamini Chadema inakufa

Mwendazake aliwekeza nguvu kubwa sana kuua Chadema, Maajabu Haya Yeye ndio kawa wa kwanza kupotea

Raha ya siasa ni vijembe na tambo Bwana

Enzi zile Dkt slaa anashusha vitu, Nape anajibu

Nape anashusha vitu Dkt slaa anajibu

Tundu lissu anatikisa Bungeni, Huku Sefue na Kikwete wanatafuta hati ya Muungano kujibu mapigo

Ahaaa siasa za Mwendazake za kukomba viti vyote vya uchaguzi Halafu na yeye kupotea moja kwa moja ni fumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matokeo yake kafa yeye lakini CHADEMA bado inadunda
 
FB_IMG_1589397986327.jpg
 
Mwenyekiti wa cdm na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika mh Mbowe ametangaza kustaafu.

Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya uwenyekiti wa chama na kumkabidhi kijiti mwana cdm mwenye uwezo.

Kama taifa tumepokea maamuzi yake kama binadamu tuna amini ametimiza wajibu wake wa kuilea na kuhakikisha cdm imekua na kuanza kuwa tishio. View attachment 1809525
Wakushukuriwa ni sisi tuliopinga udikteta wa Mbowe hapo Chadema.
 
Back
Top Bottom