Ndekrepha
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 1,506
- 2,652
Lowasa alikuwa na mtandao wa kuhujumu kikwete viongozi wengi serikalini aliwaweka yeye akiwa Waziri mkuu walipogeukana na Kikwete akamtoa uwaziri mkuu akamuweka Mizengo pinda akaanza hujuma kikwete aonekane dhaifu utendaji baadaye akajiunga chadema kisirisiri akijua hawaivi na Kikwete Hivyo akipigwa chini aende chadema!!! Alivyoenda chadema mtandao wote alioiweka serikalini na mashirika ya umma wakawa naye wakuwemo wa Tanesco kuhakikisha kila mtu kwenye nafasi yake anahujumu ili Serikali ya,CCM ionekane boya!! Tanesco Ni moja ya mashirika yaliyofanikisha chadema kupata wabunge!! Kwa kuzalisha kero nyingi za umeme kwa wapiga kura zilizofanya watu wachukie CCM Hadi Basi.Hicho ndicho kilifanya Hadi akina God bless lema wakashinda Arusha!!!
Ndio maana Raisi Magufuli aliposhika tu katika maeneo alianza kutumbua ni Tanesco
Kwa kuwa siasa ndio maisha yako sawa..
Narudia haya ni matusi ya rejareja tena ya wazi kabisa.
Ila umefungua mlango mwingine, inafikirisha na kuleta maswali lukuki.. kama hayo yamewezekana bhas dah... masikini nchi yangu.