figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Habari wakuu,
Kwa namna ya pekee, nampongeza Waziri Mape Nnauye kwa kuamua kurudisha bungeni Mswada wa sheria wa vyombo vya habari.
Huu mswada ulilalamikiwa sana na wadau wa habari kwa kile walichodai kwamba hawakushirikishwa wala hawajatoa maoni juu ya huo mswada u.iitishwa na bunge lililoisha.
Waziri Nape kaahidi kwamba watu wote watashirikishwa kabla ya kurudishwa bungeni.
Nampongeza vilevile John Mnyika mbunge wa Kibamba ambaye alipigania mswada huu bungeni kabla ya kupitishwa na kusema Wananchi wanaona, hatimaye Nape ambaye ni mwananchi ameona.
Baada ya huu mswada, naomba hata mswada wa Cybercrime nao urudishwe bungeni.
Tanzania niitakayo naanza kuiona kwa mbali. Mis