Asante mpenzi wangu wa zamani


nashukuluru kwa kufanya niliyekua nadhani nitalala nae njaa na kutembea nae juani mpaka kifo kitutenganishe na yeye sasa hivi ni DEAR EX.
Hapa ndiyo mnapokoseaga, hivi kweli mtu anayekuacha kisa maneno ya ex wako kweli huyo ndiyo mtu uliyekuwa unamtegemea kwa hayo hapo juu?
Pole sana kwa yaliyokukuta , suicidal ideation ni mbaya sana , uwe unawaza vizuri ...maisha ni changamoto.
 
yani 'ex' anaitwa 'dear.'. Na analaumiwa!

Im confused.

Labda maneno haya mtoa mada hayaelewi.
 
jamani jamani ivi mwanaume unakua mbea kama unagongea fegi,dah pole sana mumy yatapita,mungu akutie nguvu katika wakati huu wa machungu ulio nao!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom