Asante kwa kuchagua Vodacom, Namba ya Mtumiaji unayempigia haipatikani kwa sasa

yaani unapiga tigo-tigo unaambiwa asante kwa kutumia vodacom? hii chai imezidi hi
Inawezekana hii..!!!
Embu fikiria... Unayempigia (Wa tiGo mwenzio), kadaiveti calls zake ziende kwenye namba ya VodaCom.... Unapompigia kwenye namba yake ya tiGo, kama haipatikani au kutegemeana na divert conditions alizoziseti, itaenda huko alikodaiveti (VODA in this case). Kama namba yake ya VodaCom nayo imezimwa, unategemea usikie nini? Ndo hayo maelezo ya voda kwenye namba uliyopiga ya tiGo..
 
Kuna girl kaniblock. Nimemtongoza mwaka jana sasa akaelekea kukubali majuzi hapa ila akaja na mbinu za kunichuna. Eti anataka mapenzi yetu yawe na uwekezaji kwa vile ana ideas za hela ila hana mtaji. Bahati mbaya mimi sirembi, nikamuuliza baba yako kakosa kukupa mtaji mimi nitoe boom nikupe?

Sasa hivi nikipiga inaita muito mmoja afu inatumika. Baadae ananitext, sasa sijui ndio block au nini.

Namsikilizia nipate hela yangu flani hivi nimnunue. Si wanataka hela, tufanyeje sasa
Mlio mmoja afu inatumia, UMEKULA BULOKU MKUU
 
Huu ujumbe umekuwa unasikika mara nyingi sana hata kama unapiga simu kutoka Tigo kwenda Tigo au Halotel au mtandao mwingine usiohusiana kabisa na Vodacom. Je kuna kuhujumiana kunafanyika humo mitandaoni?
Mambo ya calls diversion mkuu...
 
Back
Top Bottom