Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,899
- 6,657
Chakula ganii??? Kama ni Cha usiku sawaa!!!Ni vyema kushukuru kwa chakula hata kama mpishi ni mke wako, mama yako au hata awe dada wa kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chakula ganii??? Kama ni Cha usiku sawaa!!!Ni vyema kushukuru kwa chakula hata kama mpishi ni mke wako, mama yako au hata awe dada wa kazi.
Toka Hapo kwa shemeji yako. nenda kajitafutieHuo msemo hapo juu huwa siuelewi sana pia naona ni Moja ya misemo ya kinafki sana kuwahi kuwepo.
Utakuta beki tatu kila siku Asante kwa Chakula!, Au mgeni kila siku Asante kwa Chakula!, Mi naona huu ni ka ukoloni mamboleo hivi.... Nakaribisha maoni
Unadhani kupiga bao 3 kwa jumla ya Tako 600 ni kazi ndogoChakula ganii??? Kama ni Cha usiku sawaa!!!
Mwenyekiti tena
Kwa niaba ya mleta mada tumekuteua kuwa Mwenyekiti wa huu Uzi... Hutaki Mjep?Mwenyekiti tena
Mkuu?
Chakula si chakula Mkuu...Chakula ganii??? Kama ni Cha usiku sawaa!!!
Wakichunguza akili atabaki Melo pekee...Nashauri kuwe na kitengo maalum JF cha kuchunguza akili.
Hapana aisee huu uteuzi haijapata hata baraka za msigwa huu haujakaa poaKwa niaba ya mleta mada tumekuteua kuwa Mwenyekiti wa huu Uzi... Hutaki Mjep?
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa.Hapana aisee huu uteuzi haijapata hata baraka za msigwa huu haujakaa poa
Unaonekana we ni mtu mzima so za kuambiwa changanya na zakoChakula si chakula Mkuu...
Hicho cha usiku kipoje hadi kistahili ahsante?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani kupiga bao 3 kwa jumla ya Tako 600 ni kazi ndogo
LAZIMA MTU ASEME ASANTEEE
Kuvutz hiyo kitu ni jinai mkuu, kwa hapa Nchini kwetuBangi vutia penye uwazi sio chooni.
HahahaAsante kwa uzi.
Asante kwa kunisaidia kuratibu majukumu ya kiuongoziKwa niaba ya mleta mada tumekuteua kuwa Mwenyekiti wa huu Uzi... Hutaki Mjep?
Sent using Jamii Forums mobile app