SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,758
Sumu haijawahi kumuacha mtu salama.
Hali inatisha sana mkuu, jana tulikuwa na mh Mbowe na kamanda NyaranduMkuu heshima kwako
Siku hizi hatuonani sana nadhani ni kutokana na kuzuka kwa white Nissan kutumiwa vibaya na watu wasojulikana
Halafu kuna letter M nadhan inamanisha MEDIAKofia ka Mwakyembe
Kila la kheri mkuuHali inatisha sana mkuu, jana tulikuwa na mh Mbowe na kamanda Nyarandu
Afya imegomaMkuu heshima kwako
Siku hizi hatuonani sana nadhani ni kutokana na kuzuka kwa white Nissan kutumiwa vibaya na watu wasojulikana
Hiyo ni signature ya gazeti la MwananchiHalafu kuna letter M nadhan inamanisha MEDIA
Jamaa ameamua kutuelimishaKipanya shikamooooo
Hoja za ukawa ni zipi??
Mafisadi walio kwiba fedha za escrow wapelekwe mahakamaniHoja za ukawa ni zipi??
Mm nimeibatiza MEDIAHiyo ni signature ya gazeti la Mwananchi
Huyo ni waziri wa ukawa???Hoja za ukawa ni zipi??
Swali zuri sanaHuyo ni waziri wa ukawa???
Au zungumzieni kuhusu zari na dai na Wakina hamisa
Ova