Well said kp!
KIPANYA ANA AKILI SANA.HUYU JAMAA NI KICHWA KULIKO WABUNGE 100 NA KWA WABUNGE WENYE UELEWA MDOGO KAMA KIBAJAJI AU MSUKUMA AU WALE WANAOINGIA BUNGENI KINDUGU KICHWA CHA KIPANYA NI SAWA NA WABUNGE 200 NA MURO 15 NA POLEPOLE 15 NA LEMUTUZ 3000
Chezea Kipanya weww?
Teh Teh Teh Teh.Kwi! Kwi! Kwi!
Ujumbe umewafikiaKIPANYA ANA AKILI SANA.HUYU JAMAA NI KICHWA KULIKO WABUNGE 100 NA KWA WABUNGE WENYE UELEWA MDOGO KAMA KIBAJAJI AU MSUKUMA AU WALE WANAOINGIA BUNGENI KINDUGU KICHWA CHA KIPANYA NI SAWA NA WABUNGE 200 NA MURO 15 NA POLEPOLE 15 NA LEMUTUZ 3000
Na Huyu mwingine ni nani?Umemchora Mzee Abulrahman hapo, wewe mtu mbaya sana.
Lusinde yupo salama maanna anamfurahisha mwenye chama kwa kuwananga wanao mkosoa malaikaYaap hata Lusinde hayupo salama kivile
Sema kipindi hiki wakati ccm inaandaliwa kaburiKwa sasa wanasiasa hasa kutoka CCM wanatakiwa kujitathmini sana, hasa ktk kipindi hiki ambapo chama kinafanya mabadiriko makubwa ya kiuongozi na kifikra.
Kuna fikra zinabadilishwa ccm? Una utani mkuu!! Ccm ibadilishe fikra??Kwa sasa wanasiasa hasa kutoka CCM wanatakiwa kujitathmini sana, hasa ktk kipindi hiki ambapo chama kinafanya mabadiriko makubwa ya kiuongozi na kifikra.