Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Mpaka kufikia 2020, tutakua tumeskia mengi, wanasiasa wako kwenye mpito, nyalandu keshawahi nafasi mapema!
 
4f2399a7e7adf61b0a8cc434be829bd2.jpg
Well said kp!
 
Kikwete atakuwa analia kila siku kwa kosa alilofanya la kumpa mshamba nchi, Kila mtu amekuwa mwoga katika nchi yake hakuna anayeweza kuongea jambo la kuboresha maisha zaidi ya yeye na mbwa wa dar
 
Ana msema nape huyu.
Kwenye siasa kila kitu kinawezekana.
Usishangae mbowe kuhamia CCM.
 
KIPANYA ANA AKILI SANA.HUYU JAMAA NI KICHWA KULIKO WABUNGE 100 NA KWA WABUNGE WENYE UELEWA MDOGO KAMA KIBAJAJI AU MSUKUMA AU WALE WANAOINGIA BUNGENI KINDUGU KICHWA CHA KIPANYA NI SAWA NA WABUNGE 200 NA MURO 15 NA POLEPOLE 15 NA LEMUTUZ 3000
Ujumbe umewafikia
 
Kwa sasa wanasiasa hasa kutoka CCM wanatakiwa kujitathmini sana, hasa ktk kipindi hiki ambapo chama kinafanya mabadiriko makubwa ya kiuongozi na kifikra.
 
Kwa sasa wanasiasa hasa kutoka CCM wanatakiwa kujitathmini sana, hasa ktk kipindi hiki ambapo chama kinafanya mabadiriko makubwa ya kiuongozi na kifikra.
Sema kipindi hiki wakati ccm inaandaliwa kaburi
 
tafsiri yangu,
chadema ipo chini na ccm juu, kwa hivyo ili chadema iweze kuifikia ccm kimafanikio, inatakiwa kuwa/kufanya kazi ya ziada (thats why kuna ngazi)
 
Kwa sasa wanasiasa hasa kutoka CCM wanatakiwa kujitathmini sana, hasa ktk kipindi hiki ambapo chama kinafanya mabadiriko makubwa ya kiuongozi na kifikra.
Kuna fikra zinabadilishwa ccm? Una utani mkuu!! Ccm ibadilishe fikra??
 
Back
Top Bottom