Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Hahahaahaha Nimeiangalia vizuri nikagundua kitu very interesting, angalia kikalio cha Daraja upande WA Chadema na Upande WA ccm, utakugundua kuwa Chadema Daraja limekaa vizuri wakati ccm limeshikilia kidogo Sana
vipi kuhusu hiyo duplex link huoni kama wote ni wamoja
 
Kingo za daraja upande was ccm si imara mdada wowote zinaachia wajanja watawahi kabla Kingo hazijakatika
 
Ni hicho kidaraja cha miti ndio kilichosalia kuvuka upande mwingine,kikivunjika hicho kidaraja,CCM na CDM watatumbukia kolongoni.:Tupunguze mihemko ya Kisiasa
 
Pia angalia madole Yale mawili ya chadema kama ya wanaume wa mikoani. Yaani kazi kwenda mbele ukipigwa kwenzi kichwani lazima utosi ubonyee.
 
Mkuu hapo inaonesha
  • CCM inaporomoka kwa kasi.
  • CDM ipo kwenye eneo ambalo inasubiri watu wa kutoka CM
  • Inaonekana pia ccm nadra kupata watu kutoka CDM.
Umeona mbalikiongozi, ukiangalia kutoka ccm kwenda cdm kuna kamlima, na ili kuwatoa madiwan wa cdm kwenda ccm ni mpaka wawanue, ila kutoka ccm kwenda chadema kuna mteremko/ka slope maana hawana haja ya kununua wabunge yaan wanakuja wenyewe
 
4f2399a7e7adf61b0a8cc434be829bd2.jpg
 
Back
Top Bottom