Asante JF kwa kutunza kumbukumbu. Hii ndiyo ilikuwa post yangu ya kwanza kabisa toka nijiunge na JF tarehe 31/5/2008!

Sizinga upo?
Sawa mazee sie wengine twaangalia tu.
Ila JF ina wakongwe khasa.
NI kweli kuna wakongwe hata zaidi yangu ila hao ni kabla ya Jamii Forums. Kulikuwepo na Jambo Forums ambayo serikali iliituhumu kuwa inatumika na wapinzani kwa kudai ni project ya CHADEMA na hivyo kuifungia mwanzoni mwa 2008. Kosa? Kufichua maovu ya serikali.

Hicho kitendo cha serikali ya CCM ndiyo iliyotuchochea wengine na kutupa ujasiri wa kujiunga na Jamii Forums. Kabla ya hapo yalikuwepo magazeti yaliyothubutu kuikosoa serikali na kama kawaida yakapewa adhabu ya kufungiwa.

Pia kulikuwa na vyombo vingine kama Wazalendo wa Tanzania...
 
Eti nayo ilituhumiwa kuwa inachembe za ugaidi!
Haya maswala ya ugaidi serikali na vyombo vyake wanapenda kweli kuwa tuhumu wale wanaowapa changamoto!
 
NI kweli kuna wakongwe hata zaidi yangu ila hao ni kabla ya Jamii Forums. Kulikuwepo na Jambo Forums ambayo serikali iliituhumu kuwa inatumika na wapinzani kwa kudai ni project ya CHADEMA na hivyo kuifungia mwanzoni mwa 2008. Kosa? Kufichua maovu ya serikali.

Hicho kitendo cha serikali ya CCM ndiyo iliyotuchochea wengine na kutupa ujasiri wa kujiunga na Jamii Forums. Kabla ya hapo yalikuwepo magazeti yaliyothubutu kuikosoa serikali na kama kawaida yakapewa adhabu ya kufungiwa.

Pia kulikuwa na vyombo vingine kama Wazalendo wa Tanzania...

Jambo Forums ndiko tulikoanzia na wote tukahamishiwa JF.

Ndo JF ikaanza rasmi mwaka 2006.

Ila jina la Jamii Forums lilianza kutumika rasmi 2008.

Ni safari ndefu ya ukombozi.

Hakuna kufa moyo.
 
Mwaka huo nakumbuka nilikuwaga bado sijajua hata kwamba siku moja ningekuja kuwa muuza majeneza maarufu hivi!
Nakumbuka kipindi hicho nilikuwaga na jamaa zangu flani tulikuwa tunajihusisha na wizi wa mafuta ya transformer.
Nilikuja kujiunga mara ya kwanza Jf mwaka 2011 kipindi cha sakata la babu wa Loliondo nilijikuta siku moja nasearch kitu google ndo nikaona mada moja inayohusu babu wa Loliondo na tiba yake na ni kipindi hicho ameanza kutrend nikabonyeza link kusoma habari ndo nikajikuta naingia Jf kwa mara ya kwanza hakika nilivutiwa na comments za wadau hasa kwenye baadhi ya maada hivyo nikajiunga rasmi mwaka huo
Nimekumbuka mbali sana leo
 
Humu kweli tunapigana madongo na watoto zetu aiseeh..
Kuna wakati unakutana na post na unatambua mara moja kuwa huyu ni wa juzi, hajui kama hajui! Unajiuliza mara mbili tatu kama kuna haja ya kujibizana naye. Sasa kivumbi kinafuata, unajitahidi kumpa somo mara pwaaa ni kama umefungua pandora box...anakufokea jinsi hujui kitu! Unajinyamazia, si kashinda? Labda ni mjukuu wako!
 
Wakatihuo 2009 hakukuwana smartphone nyingi.nukumbuka nilikuwa natumia nokia 7270(Java mobile phone).mada zilikuwa hot sana.nilikuwa na ID nyingine sio hii.
 
Mwaka
Ni safari ndefu ya ukombozi.
Hakuna kufa moyo.
Hii ndiyo hali tuliyopambana nayo asubuhi ya mwezi February 19, 2008 tulipoingia mtandaoni...
Jambo Forums kikaangoni...

Jambo Forums.png

Eti Jambo Forums ilikuwa ni Project ya Chadema yafungiwa (kwa ugaidi?)
Hebu soma maoni ya mwana CCM kindakindaki mwaka huo Jambo Forums ilipofungiwa...nanukuu;
Finally the chickens have come home to roost!! Bora wameifunga na ningefurahi sana kama yule bishoo aliyekuwa anajiita "Invisible" wangemtia lupango pia.

La ajabu ni kwamba kulikuwa hakuna uhuru wa kutoa maoni kwenye ile forum wakati wao walikuwa mstari wa mbele kudai uhuru huohuo wa kutoa maoni. Ile slogan yao ya "Where we dare to talk openy ilkuwa ni gimmicks tu

Halafu kuna baadhi ya wachangiaji walikuwa wakijiona wao ni elite mle na ukiwapinga au kuwashutumu basi wanakutishia kukufuta uanachama (haswa yule primadonna aliyejipachika jina la
"mwafrika wa kike"). Yote kwa vile wanajuana wakati wao hapohapo walikuwa wakilaani usiku na mchana dhana za cronyism, favoritism, nepotism etc.

Na ule msemo wao wa eti walikuwa pale "kumkoma nyani giladi" naona sasa kibao wamegeuziwa wao ... bwahahaa! :)

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!!

Hivi sasa Mwenyekiti wa Chadema naye ndani (kwa ugaidi?) CCM ni ile ile, watu wale wale, akili zile zile...kwa kweli Tanzania tulilamba gharasha na watu bado hata hawashtuki. Wapo wenzetu tulikuwa pamoja miaka hiyo...tunachojiuliza ni kitu gani kimewasibu?
 
Miaka kweli haigandi, 2008 nipo kazini mtandao wangu pendwa wa kuperuz ulikuwa ni JF ingawa nilikuwa sijajisajili rasmi.
 
Lengo langu katika kuibua post yangu hii ni kwamba kwanza, kukiri sijawahi kupiga kura wakati wowote katika maisha yangu na pili ni kwamba sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa. Ni kweli nimewahi kusifia harakati za vyama mbali mbali katika kupigania haki, uhuru na usawa na kwa sababu hiyo nyakati zote nimejenga imani kuwa adui mkubwa wa taifa letu ni CCM, full stop.

Kutopiga kura kwangu hata mara moja kumesababishwa na mambo mengi kubwa kule kutoridhishwa na utaratibu wa upigaji kura nchini na pili kutokuwa na imani na usimamizi katika hatua zote za upigaji na kuhesabu kura. Natoa taarifa kwa ndugu zangu Watanzania, pamoja na kuwa na makovu ya kudai vyama vingi, sijashawishika kujiunga na chama chochote na CCM ndio kabisa, sina wazo. Ni hayo tu.

Mkuu heshima kwako. Unasomeka vyema.

Hili la kutopiga kura limeniuma. Yawezekana kuna wengi kama wewe ambao hatupigi kura.

"Don't boo, vote." Alisisitiza Obama.

Pamoja na yote, tusikate tamaa na kuwaachia kina Mbowe vita hivi peke yao.
 
Mwaka

Hii ndiyo hali tuliyopambana nayo asubuhi ya mwezi February 19, 2008 tulipoingia mtandaoni...
Jambo Forums kikaangoni...

View attachment 1917312

Eti Jambo Forums ilikuwa ni Project ya Chadema yafungiwa (kwa ugaidi?)
Hebu soma maoni ya mwana CCM kindakindaki mwaka huo Jambo Forums ilipofungiwa...nanukuu;
Finally the chickens have come home to roost!! Bora wameifunga na ningefurahi sana kama yule bishoo aliyekuwa anajiita "Invisible" wangemtia lupango pia.

La ajabu ni kwamba kulikuwa hakuna uhuru wa kutoa maoni kwenye ile forum wakati wao walikuwa mstari wa mbele kudai uhuru huohuo wa kutoa maoni. Ile slogan yao ya "Where we dare to talk openy ilkuwa ni gimmicks tu

Halafu kuna baadhi ya wachangiaji walikuwa wakijiona wao ni elite mle na ukiwapinga au kuwashutumu basi wanakutishia kukufuta uanachama (haswa yule primadonna aliyejipachika jina la
"mwafrika wa kike"). Yote kwa vile wanajuana wakati wao hapohapo walikuwa wakilaani usiku na mchana dhana za cronyism, favoritism, nepotism etc.

Na ule msemo wao wa eti walikuwa pale "kumkoma nyani giladi" naona sasa kibao wamegeuziwa wao ... bwahahaa! :)

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!!

Hivi sasa Mwenyekiti wa Chadema naye ndani (kwa ugaidi?) CCM ni ile ile, watu wale wale, akili zile zile...kwa kweli Tanzania tulilamba gharasha na watu bado hata hawashtuki. Wapo wenzetu tulikuwa nao miaka hiyo...tunachojiuliza ni kitu gani kimewasibu?

Nimegandana na hizo paragraph za green!

So much can be “gotten” kwa statements zako!!! Jumbe ziko too open!!! Dah!
 
Back
Top Bottom