Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 8,917
- 23,236
Miaka 13 sasa sio haba lakini.2008 uko form 1?!
Dah!!!
Miaka 13 sasa sio haba lakini.2008 uko form 1?!
Dah!!!
NI kweli kuna wakongwe hata zaidi yangu ila hao ni kabla ya Jamii Forums. Kulikuwepo na Jambo Forums ambayo serikali iliituhumu kuwa inatumika na wapinzani kwa kudai ni project ya CHADEMA na hivyo kuifungia mwanzoni mwa 2008. Kosa? Kufichua maovu ya serikali.Sizinga upo?
Sawa mazee sie wengine twaangalia tu.
Ila JF ina wakongwe khasa.
Salute Mkuu..Only in your dreams... EarthMover!
Ask the “System”!!! Why not.
Eti nayo ilituhumiwa kuwa inachembe za ugaidi!NI kweli kuna wakongwe hata zaidi yangu ila hao ni kabla ya Jamii Forums. Kulikuwepo na Jambo Forums ambayo serikali iliituhumu kuwa inatumika na wapinzani kwa kudai ni project ya CHADEMA na hivyo kuifungia mwanzoni mwa 2008. Kosa? Kufichua maovu ya serikali.
Hicho kitendo cha serikali ya CCM ndiyo iliyotuchochea wengine na kutupa ujasiri wa kujiunga na Jamii Forums. Kabla ya hapo yalikuwepo magazeti yaliyothubutu kuikosoa serikali na kama kawaida yakapewa adhabu ya kufungiwa.
Pia kulikuwa na vyombo vingine kama Wazalendo wa Tanzania...
NI kweli kuna wakongwe hata zaidi yangu ila hao ni kabla ya Jamii Forums. Kulikuwepo na Jambo Forums ambayo serikali iliituhumu kuwa inatumika na wapinzani kwa kudai ni project ya CHADEMA na hivyo kuifungia mwanzoni mwa 2008. Kosa? Kufichua maovu ya serikali.
Hicho kitendo cha serikali ya CCM ndiyo iliyotuchochea wengine na kutupa ujasiri wa kujiunga na Jamii Forums. Kabla ya hapo yalikuwepo magazeti yaliyothubutu kuikosoa serikali na kama kawaida yakapewa adhabu ya kufungiwa.
Pia kulikuwa na vyombo vingine kama Wazalendo wa Tanzania...
Shikamoo mkuuEeh??
Marahaba katotoDah nilikua Std 7 enzi hizo
sio watoto tu hata wajukuu zenu wamo,kikubwa mjue umri uwashawatupa mkono hivyo mkae Kwa kutulia vijana wenu ndio tunashika usukani SasaHumu kweli tunapigana madongo na watoto zetu aiseeh..
Kuna wakati unakutana na post na unatambua mara moja kuwa huyu ni wa juzi, hajui kama hajui! Unajiuliza mara mbili tatu kama kuna haja ya kujibizana naye. Sasa kivumbi kinafuata, unajitahidi kumpa somo mara pwaaa ni kama umefungua pandora box...anakufokea jinsi hujui kitu! Unajinyamazia, si kashinda? Labda ni mjukuu wako!Humu kweli tunapigana madongo na watoto zetu aiseeh..
Hii ndiyo hali tuliyopambana nayo asubuhi ya mwezi February 19, 2008 tulipoingia mtandaoni...Ni safari ndefu ya ukombozi.
Hakuna kufa moyo.
Lengo langu katika kuibua post yangu hii ni kwamba kwanza, kukiri sijawahi kupiga kura wakati wowote katika maisha yangu na pili ni kwamba sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa. Ni kweli nimewahi kusifia harakati za vyama mbali mbali katika kupigania haki, uhuru na usawa na kwa sababu hiyo nyakati zote nimejenga imani kuwa adui mkubwa wa taifa letu ni CCM, full stop.
Kutopiga kura kwangu hata mara moja kumesababishwa na mambo mengi kubwa kule kutoridhishwa na utaratibu wa upigaji kura nchini na pili kutokuwa na imani na usimamizi katika hatua zote za upigaji na kuhesabu kura. Natoa taarifa kwa ndugu zangu Watanzania, pamoja na kuwa na makovu ya kudai vyama vingi, sijashawishika kujiunga na chama chochote na CCM ndio kabisa, sina wazo. Ni hayo tu.
Shikamoo mkuu
Mwaka
Hii ndiyo hali tuliyopambana nayo asubuhi ya mwezi February 19, 2008 tulipoingia mtandaoni...
Jambo Forums kikaangoni...
Finally the chickens have come home to roost!! Bora wameifunga na ningefurahi sana kama yule bishoo aliyekuwa anajiita "Invisible" wangemtia lupango pia.
View attachment 1917312
Eti Jambo Forums ilikuwa ni Project ya Chadema yafungiwa (kwa ugaidi?)
Hebu soma maoni ya mwana CCM kindakindaki mwaka huo Jambo Forums ilipofungiwa...nanukuu;
La ajabu ni kwamba kulikuwa hakuna uhuru wa kutoa maoni kwenye ile forum wakati wao walikuwa mstari wa mbele kudai uhuru huohuo wa kutoa maoni. Ile slogan yao ya "Where we dare to talk openy ilkuwa ni gimmicks tu
Halafu kuna baadhi ya wachangiaji walikuwa wakijiona wao ni elite mle na ukiwapinga au kuwashutumu basi wanakutishia kukufuta uanachama (haswa yule primadonna aliyejipachika jina la "mwafrika wa kike"). Yote kwa vile wanajuana wakati wao hapohapo walikuwa wakilaani usiku na mchana dhana za cronyism, favoritism, nepotism etc.
Na ule msemo wao wa eti walikuwa pale "kumkoma nyani giladi" naona sasa kibao wamegeuziwa wao ... bwahahaa!
Kidumu Chama Cha Mapinduzi!!
Hivi sasa Mwenyekiti wa Chadema naye ndani (kwa ugaidi?) CCM ni ile ile, watu wale wale, akili zile zile...kwa kweli Tanzania tulilamba gharasha na watu bado hata hawashtuki. Wapo wenzetu tulikuwa nao miaka hiyo...tunachojiuliza ni kitu gani kimewasibu?
Miaka 13 sasa sio haba lakini.