Asante Igunga na watanzania-Dk Slaa

Pole sana Dr Slaa mbwembwe zako na Uongo wako Igunga umetoka patupu!

patupu ww, igunga imetoa taswira halisi jinsi gan cdm inakubalika, magamba 2015 watakijua kilichomtoa kanga manyoya inahitajika elimu kidogo tu hasa vijijini
 
Hongera CDM na Uongozi wake wote, binafsi sikutarajia kuwa Wana Igunga wataikubali CDM kwa kiwango kikubwa kama walivyofanya. Nguvu kubwa iliyotumiwa na WANAMAGAMBA kupandikiza chuki za kidini na ukabila kutoa rushwa pamoja na matumizi yasiyo sahihi ya vyombo vya dola hususan Polisi dhidi ya wananchi wasio na hatia na msimamo uliooneshwa na wananchi hao ni funzo tosha kuwa Chama Cha Magamba hakipendwi kabisa sio mijini tu bali hata vijijini.

CDM kaza mwendo na msisahau suala zima la KATIBA MPYA kwani WANAMAGAMBA wanataka kulipotezea kiaina mpaka 2015 ifike bila kuandikwa kwa KATIBA hiyo.
 
Tulia ww wala usipende kukurupuka hovyo,utaratibu wa kuwashukuru wananchi upo kwa Cdm kwa hyo subiri watu wajipange kwanza kwani si uchaguzi umeisha juzi tuu? Acha papara dogo
Hiyo shukurani alikuwa anawapa kina nani basi? Au ndio ulikuwa ni ujumbe kuwa amekubali matokeo?
 
Ghadafi alianza kwa kuwaita panya wapinzani wake,later yeye ndo kawa panya buku,siku za CCM kugeuka chama dhaifu cha upinzani zimekaribia mno,Igunga is just a small indicator na kwa vile wanafikiri kwa masaburi hawaoni hata jinsi umaarufu wao unavyopolomoka kwa kasi,
Kweli Sikio la kufa halisikii dawa.
 
2ko pamoja dk.Slaa,fanyeni mikutano vijijini ili wananchi wawe na uelewa kuhusu nchi yao.
 
Natamani sana Uongozi wa CHADEMA makao makuu wasambaze vipeperushi vya elimu ya Uraia huku Vijijini, hata makada wa CCM bado wanahitaji elimu. hUWEZ AMINI ETI mABALOZI WENGI NA WENYEVITI wa Vijiji hawajui tafsiri ya mtoto ni kuanzia miaka mingapi! huamini we mtokee mmojawapo hapo kijijini kwenu.

CHADEMA tumieni mtaji wa vijana huku vijijini!!! tumieni hata makada wanaokubalika jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Pia itisheni mikutano Dar, Mbeya, Mwanza, Kigoma, lindi, Kilimanjaro na Morogoro as strategic centres speading it to Tabora, Pwani and Shinyana

Nasikia CCM huko Moshi kwa leo wanafanya mkutano katikati ya barabara kuu pia wanaimba wenyewe hakuna mashabiki.

Moshi huko CCM kwisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Jah bless all CDM leaders, kiukweli umedhihirishia watanzania wote kuwa chama chenu kinakubaliko, from zero to heroes, even if hamkuweza kushinda but huo ni mwanzo mzuri sana jambo la msingi endeleeni kuwekeza kwenye hazina zenu zilizopo maeneo ya vijijini ili 2015 kura ziwe mara mbili ya zile zilizopatikana kwa sasas!!!

MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU IBARIKI CDM!!!!
 
Mwanzo mzuri. Ni vizuri kujifunza ni nini kilichoinyima Chadema kura igunga. Nionavyo mimi pamoja na sababu za miaka ya nyuma ya tume isiyo huru na mengine yanayafanana kama hayo, kuna hili la Chadema kuwatumia mawakala wa kutoka nje ya Igunga. Tujifunze kwa yalipita
 
Safi sana

Maneno yake kwa watanzania kupitia facebook wall page yake leo:

· Dr. Willibrord Slaa



MYTAKE:

Dr Slaa tunawashauri chadema mbali ya kuwashukuru wana Igunga itisheni mkutano mkubwa Dar muwaeleze wafuasi wa chadema kilichotokea Igunga na kitakachofuata.Dr kumbuka tokea uchaguzi mkuu mwaka jana hamjalitikisa jiji la Dar kupitia viwanja vya jangwani.

Tunataka mkutano mkubwa Dar utakaotetemesha Magamba. Muda sio mrefu Nape amezungumza na waandishi akaropoka maneno mengi kuhusu Igunga na akasema Magamba watafanya mkutano mkubwa Dar kumtambulisha huyo mbunge wao Kafumu.
 
Mwanzo mzuri. Ni vizuri kujifunza ni nini kilichoinyima Chadema kura igunga. Nionavyo mimi pamoja na sababu za miaka ya nyuma ya tume isiyo huru na mengine yanayafanana kama hayo, kuna hili la Chadema kuwatumia mawakala wa kutoka nje ya Igunga. Tujifunze kwa yalipita

tangu lini wewe magamba ukatoa ushauri kwa CDM?
 
Amina Dr. Jiimarisheni vijijini kabla ya 2015. Mjini mmeshateka nchi.
 
Back
Top Bottom