Wanamwambia nani tupo pamoja, CCM au CHADEMA? Kwanini wamwambie wanaemwabia kuwa "tuko pamoja" na sio mwingine? Dr. Slaa wakati anazindua Tawi pale Mzumbe chuoni alikubalina na Dr. Rwaitama kuwa wanaopenda na kuikubali na hata kuipigia kura CHADEMA ni Watanzania wenye upendo na Taifa lao sio wana CDM pekee! Hivo usije kuwa na kadi ndio kigezo cha upendo kwa Taifa, japo sio mbaya kuwa na kadi.Kila mtu humu anajifanya ooh tupo pamoja ooh tupo pamoja wakati wengine hata kadi za Chadema hamna.
Dr Slaa, kazi ndo imeanza! Usichoke
Kila mtu humu anajifanya ooh tupo pamoja ooh tupo pamoja wakati wengine hata kadi za Chadema hamna.
Omr nashushauri ukapimwe akili mental clinic ya karibu kama unaishi ughaibuni. Iwapo upo Bongo basi panda basi la Shabiby uende hospitali ya vichaa inayoitwa Mirembe iliyopo mkoani Dodoma. Baada ya kupewa majibu kuwa mental faculties zako ziko timamu ndipo uandelee kutoa hoja au kuchangia humu jamvini a.k.a jamiiforums. Naomba kuwasilisha rai yangu kwako.
Pole sana Dr Slaa mbwembwe zako na Uongo wako Igunga umetoka patupu!
Na kweli siku zote mtaweza kushindwa km igunga lazima mfe. Slaa jana amezimia !
Pole sana Dr Slaa mbwembwe zako na Uongo wako Igunga umetoka patupu!
Pole sana Dr Slaa mbwembwe zako na Uongo wako Igunga umetoka patupu!
Maneno yake kwa watanzania kupitia facebook wall page yake leo:
· Dr. Willibrord Slaa
MYTAKE:
Dr Slaa tunawashauri chadema mbali ya kuwashukuru wana Igunga itisheni mkutano mkubwa Dar muwaeleze wafuasi wa chadema kilichotokea Igunga na kitakachofuata.Dr kumbuka tokea uchaguzi mkuu mwaka jana hamjalitikisa jiji la Dar kupitia viwanja vya jangwani.
Tunataka mkutano mkubwa Dar utakaotetemesha Magamba. Muda sio mrefu Nape amezungumza na waandishi akaropoka maneno mengi kuhusu Igunga na akasema Magamba watafanya mkutano mkubwa Dar kumtambulisha huyo mbunge wao Kafumu.
Wameiponda CCM kuwa wameshindwa kuleta maendeleo vijijini igunga halafu anaweka ujumbe kwenye facebook wa kuwashukuru hao hao wa vijijini. Hizi ni dalili mbaya sana. Au waende kwenye ofisi ya CDM ndio kuna computer?Ukishindwa uchaguzi, ni vyema kutoa hotuba ya shukrani kabla hamjarudi Dar (Kashindye/Slaa/Mbowe).
Huwa inaitwa concession speech.
Mnarudi square one!.. Hivi watu wa Igunga wengi wao wana facebook accounts?
C'mon!, eleweni somo.
Tulia ww wala usipende kukurupuka hovyo,utaratibu wa kuwashukuru wananchi upo kwa Cdm kwa hyo subiri watu wajipange kwanza kwani si uchaguzi umeisha juzi tuu? Acha papara dogoWameiponda CCM kuwa wameshindwa kuleta maendeleo vijijini igunga halafu anaweka ujumbe kwenye facebook wa kuwashukuru hao hao wa vijijini. Hizi ni dalili mbaya sana. Au waende kwenye ofisi ya CDM ndio kuna computer?
Afadhali leo umezinduka aisee jana hali ilikuwa mbaya mpaka ukazimia ! jikaze kiume hiyo ndio ccm na hukutegemea jamaa wanaweza kuwafanya vibaya kiasi hicho , mie nilijua tu huwezi kupambana na ccm wao ni jeshi kubwa na lenye rasilimali nyingi . Sasa inakuwaje mmebomoa benki kiasi cha kwamba tshs 1.345bn zimetumika igunga na hamkuapata kitu na chama ndio muflisi sasa