Asante Godbless Lema kwa kumtembelea Kitwanga katika Hospitali ya Muhimbili

Siasa sio uadui
Leo wewe unasema hivyo, mbona sisi CCM hatuna tatizo kabisa, ila ingekuwa Lema kalazwa then Kitwanga aende kumtembelea mgesema katumwa akamuue, hahaha yaani wapinzani akili zenu mnazijua wenyewe
Screenshot 2019-02-07 at 20.57.50.png
 
Leo wewe unasema hivyo, mbona sisi CCM hatuna tatizo kabisa, ila ingekuwa Lema kalazwa then Kitwanga aende kumtembelea mgesema katumwa akamuue, hahaha yaani wapinzani akili zenu mnazijua wenyewe
View attachment 1019230
Lissu alipolazwa Nairobi miongoni mwa walioenda kumtembelea ni Lazaro Nyalandu na Mama Samia. Ukileta ushahidi wa comment hata moja tu ya Wanachadema waliowatuhumu kutumwa kwenda kumuua nipigwe ban.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom