Asante CCM kujisahihisha

APA CHICAGO

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
259
293
Chama tawala CCM chini ya mwenyekiti wake na Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama yetu mpendwa Samiah Suluhu Hassan kinazidi kujisahihisha hasa kwa makosa yaliyotokea miaka kadhaa iliyopita.Ninakipongeza sana kwa hatua hizi za makusudi kinazochukua.CCM ya leo inanikumbusha CCM ya miaka kadhaa iliyopita Kulikuwa na "KUJIVUA GAMBA". Sielewi kwa sasa kinavua nini ? ila ninachohisi kinajisahihi.
Tatizo ninaloliona ni moja tu nalo ni kuwa idadi kubwa ya watanzania sio wasomi hivyo uwezo wa kuchambua mambo ni mdogo hivyo wanajikuta wanaamini maneno ya kuambiwa pasipo tafakari. Hili ni tatizo kwani watanzania wengi walibebwa na msemo Mimi ni...wa wanyonge ili hali hapakuwa na uhalisia sana.
 
Kweli mkuu wali laghaiwa na tapeli mmoja wakaamini wengi

Kuna interview moja Samia anasema moja ya vitu muhimu anataka kuacha ni kuwawezesha watanzania wengi wajitambue hasa kwenye masualà ya siasa na uraia ili isitokee wakatapeliwa kijinga hivi
 
Ni

Kweli mkuu tunamuomba Rais atuachie huo urithi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom