Asante Bwana Yesu, malimao, ndimu na pilipili kichaa zangu haziibiwi tena

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
29,997
2,000
Nilishuhudia enzi za kujifukiza na kula malimao, ndimu na pilipili kichaa wizi mkubwa shambani kwangu wa mazao hayo.

Tangu Mwendazake aondoke, sasa kila kitu hakina soko /soko limekuwa kama limeisha/limepungua baada ya advocate wa tiba hiyo kuondoka.

Asante Bwana Yesu siibiwi tena
 

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
110,209
2,000
Umenikumbusha uhaba wa limau pale Arusha na Manyara.

Ukiingia Hotelini au mgahawani kuagiza supu utakacho kiona kwenye sahani ni supu na pilipili tu.
 

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
29,997
2,000
Kwa hiyo watu wame stop kutumia limau na pilipili.......ni zwazwa tu atakayeamini huu uzushi.
Rubbish, nakwambia wizi umeisha! Nani kasema havitumki? Nasema wizi wa limao nilioushuhudia umeisha....
 

Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,955
2,000
Rubbish, nakwambia wizi umeisha! Nani kasema havitumki? Nasema wizi wa limao nilioushuhudia umeisha....
Kama vilikuwa havitumiki vilikuwa vinapelekwa wapi na sasa kama vinatumika vinatumika na akina nani?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom