Asante baada ya kula | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asante baada ya kula

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by 22nd, Apr 6, 2011.

 1. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hello guys!!
  naomba mnisaidie kwa hili,ni kawaida(mila na desturi) ukimaliza kula lazima useme asante kwa chakula.
  swali ni hili:
  Ni yupi anastahili kupewa asante?
  aliyepika chakula au aliyenunua chakula?

  kutokana na makuzi yangu maisha yote tulikuwa na house girl,kwahiyo hata yeye akipika tunampa asante na mama na baba wanampa asante pia.

  ila kuna nyumba nyengine nimetembelea, asante mnaenda kumpa aliyenunua chakula, i mean baba au mama, bila ya kujali yule mtu aliyepika.

  hapa imekaaje?
  naomba mawazo,nani anastahili hii asante?
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Aliyepika na aliyetafuta bila kusahau aliyekula nae anastahili ahsante.
   
Loading...