Asange wa Wikileakes awageukie watawala wa Tanzania

Stabilaiza

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
1,843
1,143
Watawala wa Tanzania, na hasa wa awamu hii ya Tano, wanatiliwa shaka sana kuhusu uzalendo wao kwa nchi yetu. Wanaonekana dhahiri Shairi, hawaipendi Tanzania kwa maneno na matendo yao. Wanawatukana wananchi, wanawafukuza kazi kama mbwa, wanawabomolea nyumba zao, hawaguswi na mauaji ya wananchi wanaouawa na majeshi ya nchi jirani. Wanafanya urafiki na kuwahususdu watawala wanchi jirani ambazo zinahistoria ya chuki na ukabila miongoni mwa o. Wasaidizi wa watawala wetu pia hawaaminiki kwa wananchi kwa jinsi askari polisi wanavyouawa kikatili.

Ni muda muafaka kwa Asange wa Wikileaks kuigeukia Tanzania na kumwaga hadharani mawasiliano ya watawala wetu ili kudhibitisha chuki yao dhidi ya Taifa letu.
 
Tujadili bila mihemko
Mbona unajishuku....It embarrassed to read!
 
Asange hajui kiswahili so waste post hii.. Japo una machingu kuliko viongozi.. Huu mchezo hauhitaji hasira
 
Watawala wa Tanzania, na hasa wa awamu hii ya Tano, wanatiliwa shaka sana kuhusu uzalendo wao kwa nchi yetu. Wanaonekana dhahiri Shairi, hawaipendi Tanzania kwa maneno na matendo yao. Wanawatukana wananchi, wanawafukuza kazi kama mbwa, wanawabomolea nyumba zao, hawaguswi na mauaji ya wananchi wanaouawa na majeshi ya nchi jirani. Wanafanya urafiki na kuwahususdu watawala wanchi jirani ambazo zinahistoria ya chuki na ukabila miongoni mwa o. Wasaidizi wa watawala wetu pia hawaaminiki kwa wananchi kwa jinsi askari polisi wanavyouawa kikatili.

Ni muda muafaka kwa Asange wa Wikileaks kuigeukia Tanzania na kumwaga hadharani mawasiliano ya watawala wetu ili kudhibitisha chuki yao dhidi ya Taifa letu.
Mbona mimi sijaelewa kabisa.
 
alikuwegepo aliyejifanya ni Marehemu Daudi Balali tukaiona mikwara yake, sijui hata aliishiaga wapi yule mtu. hii nchi haiishi vituko akyanani
 
Watawala wa Tanzania, na hasa wa awamu hii ya Tano, wanatiliwa shaka sana kuhusu uzalendo wao kwa nchi yetu. Wanaonekana dhahiri Shairi, hawaipendi Tanzania kwa maneno na matendo yao. Wanawatukana wananchi, wanawafukuza kazi kama mbwa, wanawabomolea nyumba zao, hawaguswi na mauaji ya wananchi wanaouawa na majeshi ya nchi jirani. Wanafanya urafiki na kuwahususdu watawala wanchi jirani ambazo zinahistoria ya chuki na ukabila miongoni mwa o. Wasaidizi wa watawala wetu pia hawaaminiki kwa wananchi kwa jinsi askari polisi wanavyouawa kikatili.

Ni muda muafaka kwa Asange wa Wikileaks kuigeukia Tanzania na kumwaga hadharani mawasiliano ya watawala wetu ili kudhibitisha chuki yao dhidi ya Taifa letu.
Unadhani Asange anafanya kazi ya kutetea mafisadi!
 
Hizi ni Character za vibaraka na watu wanaopenda kuongea mambo ya vyumbani kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Watawala wa Tanzania, na hasa wa awamu hii ya Tano, wanatiliwa shaka sana kuhusu uzalendo wao kwa nchi yetu. Wanaonekana dhahiri Shairi, hawaipendi Tanzania kwa maneno na matendo yao. Wanawatukana wananchi, wanawafukuza kazi kama mbwa, wanawabomolea nyumba zao, hawaguswi na mauaji ya wananchi wanaouawa na majeshi ya nchi jirani. Wanafanya urafiki na kuwahususdu watawala wanchi jirani ambazo zinahistoria ya chuki na ukabila miongoni mwa o. Wasaidizi wa watawala wetu pia hawaaminiki kwa wananchi kwa jinsi askari polisi wanavyouawa kikatili.

Ni muda muafaka kwa Asange wa Wikileaks kuigeukia Tanzania na kumwaga hadharani mawasiliano ya watawala wetu ili kudhibitisha chuki yao dhidi ya Taifa letu.
What is this?
 
Hata mimi nimesha waza ili na ninaomba kitu kama hiki kitokeee. Hii serkal inaendeshwa kimafia. Yani ukiikosoa au kuquestion wanadeal na ww.
 
Jamani aliemwelewa naomba anisaidie hapa naona nimekuwa slow lerner!!!!
 
Back
Top Bottom