Stabilaiza
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 1,843
- 1,143
Watawala wa Tanzania, na hasa wa awamu hii ya Tano, wanatiliwa shaka sana kuhusu uzalendo wao kwa nchi yetu. Wanaonekana dhahiri Shairi, hawaipendi Tanzania kwa maneno na matendo yao. Wanawatukana wananchi, wanawafukuza kazi kama mbwa, wanawabomolea nyumba zao, hawaguswi na mauaji ya wananchi wanaouawa na majeshi ya nchi jirani. Wanafanya urafiki na kuwahususdu watawala wanchi jirani ambazo zinahistoria ya chuki na ukabila miongoni mwa o. Wasaidizi wa watawala wetu pia hawaaminiki kwa wananchi kwa jinsi askari polisi wanavyouawa kikatili.
Ni muda muafaka kwa Asange wa Wikileaks kuigeukia Tanzania na kumwaga hadharani mawasiliano ya watawala wetu ili kudhibitisha chuki yao dhidi ya Taifa letu.
Ni muda muafaka kwa Asange wa Wikileaks kuigeukia Tanzania na kumwaga hadharani mawasiliano ya watawala wetu ili kudhibitisha chuki yao dhidi ya Taifa letu.