Asali mbichi kutoka Tabora

emoshi

Member
Apr 2, 2011
28
1
Ndugu zangu wadau wa JF natafuta mtu ambae anahitaji asali mbichi kutoka Tabora. Mimi ninauwezo wa kumletea kuanzia dumu za lita 20 kuanzia tano na kuendelea na ningefurahi sana kama uyo mtu mwenye uhitaji angekuwa anapatikana hasa hasa mikoa ya Kilimanjaro au Arusha. Kama una uhitaji ni pm tuongee bei na mambo mengine au kama kuna mtu uku anajua mahali mtu ananunua kwa jumla please naomba anisaidie kunijuza . Natanguliza shukrani zangu za dhati wadau.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom