Asali inamuumiza tumbo.

Bandabichi

JF-Expert Member
Jun 3, 2012
230
42
Heshima mbele wakuu.
Nina rafiki yangu (ke) kila akila asali tumbo anadai linakwangua au linamuuma.
Hii mambo inasababishwa na nini?
Ushauri wa kitaalamu.
 
Mkuu Bandabichi Ikiwa huyo rafiki yako wa kike akitumia asali tumbo lake linakwangua

au linamuuma Si bora aache tu kuitumia hiyo Asali itakuwa kwake ni bora kuliko kulazimisha kunywa hiyo Asali. Asali

niijuavyo mimi ni Dawa kwa kila Maradhi na inatibu karibu maradhi mengi yaliyoshindikana kutibika Ma-Hospitalini ikiwa

huyo Rafiki yako wa kike akitumia Asali inamletea madhara bora tu aiache kuitumia namwambie aende Hospitali kuangalia

Afya yake haswa huko tumboni huenda akawa na maradhi yaliyojificha ndio maana akinywa hiyo asali Tumbo lake

linamuuma na kumkata mwambie aende Hospitali kufanya check up .
 
Last edited by a moderator:
Sawa mganga mkuu wa JF umeiva kifani na kitaaluma.

Mkuu Bandabichi Ikiwa huyo rafiki yako wa kike akitumia asali tumbo lake linakwangua

au linamuuma Si bora aache tu kuitumia hiyo Asali itakuwa kwake ni bora kuliko kulazimisha kunywa hiyo Asali. Asali

niijuavyo mimi ni Dawa kwa kila Maradhi na inatibu karibu maradhi mengi yaliyoshindikana kutibika Ma-Hospitalini ikiwa

huyo Rafiki yako wa kike akitumia Asali inamletea madhara bora tu aiache kuitumia namwambie aende Hospitali kuangalia

Afya yake haswa huko tumboni huenda akawa na maradhi yaliyojificha ndio maana akinywa hiyo asali Tumbo lake

linamuuma na kumkata mwambie aende Hospitali kufanya check up .
 
Si aiache kama kila akila inamletea madhara maana anaweza akawa ana aleji na vitu vitamu vitamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom