Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Kijana mmoja aliyesema anaitwa Frank Omary amesafiri kutoka Iringa kuja Dar kumtafuta Harmorappa mna kudai yeye ni ndugu yake mama yake amemwambi ni wa baba mmoja, ameacha na namba zake akitaka Harmorapa amtafute akiona ujumbe wake mtandaoni