Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,832
- 5,259
Mzee AkilimaliAliekuambia tunashida yakwenda huko kwa kupitia migongo ya mikia nanii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee AkilimaliAliekuambia tunashida yakwenda huko kwa kupitia migongo ya mikia nanii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ibariki Africa.
SIMBA hakika atashinda Njaa!
Mungu ibariki AS YANGA Vita!
Unyama unyama tu, Acha Simba afe kesho.
Kesho Mkuu Taifa tunafurika.Pamoja mama la mamaa.....tutakua uwanjani pale kuongeza nguvu,,
Daima mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeeeh hilo hatujali sisi kwanza manara kasema hataki tuishangirie simba.....yanga wote tunashangiria As vita .....ba mutu ba congoKuwa mchawi sio lazima utembee na matunguli, kuwa na fikra kama zako tu, zinatosha kukuelezea haiba yako!
Inamaana hujui Simba ikifanya vizuri mwakani nchi yetu itaongeza wawakilishi automatic?
Nimeamini kuwa KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA HAKUJAWA SULUHISHO LA UJINGA!
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeeeh hilo hatujali sisi kwanza manara kasema hataki tuishangirie simba.....yanga wote tunashangiria As vita .....ba mutu ba congo
Sent using Jamii Forums mobile app
hii ni timu YETU!Broh ujue sikuelewi? Ushabiki wa Yanga umeanza lini?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tukose umeme kwa ajili ya mambo yasiyotuhusu aah hiyo hapanaUshauri wangu kwa wana simba As vita wamefikia katika gesti ya kawaida sana ongeeni na Tanesco wakate umeme ule mtaa watashindwa kulala na joto hili la Dar hivyo watakuwa na uchovu wakiingia uwanjani mtajipigia tu mwazo mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaSasa timu inamiliki iPhone X unafananishaje timu inayomiliki tekino ya elfu 70
Kila la heri chama la wana AS VITA .... piga hao wamiliki tecno za 70,000
Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
Sasa timu inamiliki iPhone X unafananishaje timu inayomiliki tekino ya elfu 70
Kila la heri chama la wana AS VITA .... piga hao wamiliki tecno za 70,000
Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s
HahahahSasa timu inamiliki iPhone X unafananishaje timu inayomiliki tekino ya elfu 70
Kila la heri chama la wana AS VITA .... piga hao wamiliki tecno za 70,000
Sent using Jamii Forums mobile app from my iPhone 5s