AS Vita waingia mjini kikomando

Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
16,616
38,585
Moja kati ya timu tishio na yakuogopwa barani africa AS VITA imeingia mjini kikomandoo na kuapa kutekeleza mission yao ya siri kikomandoo bila kuithiri diplomasia za nchi zetu mbili kati ya CONGO na TANZANIA..
Mapema leo as vita ilionekana kwenye hoteli moja mjini lakini baada ya wale wazee wa SPRAY na NDUMBA kupewa taarifa walipo wasakata kabumbu hao walienda na vitendea kazi vyao bila kuwakuta wahusika..

Inasemekana as vita wamechukua hotel 5 tofauti na hawakai eneo moja kwa zaidi ya masaa mawili kwa ajili ya usalama wao..ni mambo ya ajabu kabisa hata kuyaelezea lakini ndio hvyo mikia wamewekeza kwenye ndumba na fitna zaidi kuliko kusakata kabumbu uwanjani.

Mikia mnalitia aibu taifa bila kujijua, lakin pamoja na kashfa hizo za ndumba na kupuliza rungu spray kipigo chenu kipo pale pale.

Tukutane jmos taifa mida ya saa moja nitakua na jezi yangu pendwa ya kijani na njano....MUNGU IBARIKI AS YANGA VITA

Mungu ibariki team yetu pendwa ya kocha wetu mwinyi zahera

DAIMA MBELE NYUMA MWIKO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Screenshot_20190314-131145.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wangu kwa wana simba As vita wamefikia katika gesti ya kawaida sana ongeeni na Tanesco wakate umeme ule mtaa watashindwa kulala na joto hili la Dar hivyo watakuwa na uchovu wakiingia uwanjani mtajipigia tu mwazo mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hainaga noumaaaa mtani, tena ikibidi muwakaribishe kabisa Mitaa ya Jangwan mashost zenu maan Mume wenu Simba ndogo huyoooo anakaribia kuongeza mke wa pili baada ya weye Binti YANGA kuolewa siku na tarehe sawa ya 16.

Asanten kwa kuja Vyuraaaa FC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja kati ya timu tishio na yakuogopwa barani africa AS VITA imeingia mjini kikomandoo na kuapa kutekeleza mission yao ya siri kikomandoo bila kuithiri diplomasia za nchi zetu mbili kati ya CONGO na TANZANIA..
Mapema leo as vita ilionekana kwenye hoteli moja mjini lakini baada ya wale wazee wa SPRAY na NDUMBA kupewa taarifa walipo wasakata kabumbu hao walienda na vitendea kazi vyao bila kuwakuta wahusika..

Inasemekana as vita wamechukua hotel 5 tofauti na hawakai eneo moja kwa zaidi ya masaa mawili kwa ajili ya usalama wao..ni mambo ya ajabu kabisa hata kuyaelezea lakini ndio hvyo mikia wamewekeza kwenye ndumba na fitna zaidi kuliko kusakata kabumbu uwanjani.

Mikia mnalitia aibu taifa bila kujijua, lakin pamoja na kashfa hizo za ndumba na kupuliza rungu spray kipigo chenu kipo pale pale.

Tukutane jmos taifa mida ya saa moja nitakua na jezi yangu pendwa ya kijani na njano....MUNGU IBARIKI AS YANGA VITA

Mungu ibariki team yetu pendwa ya kocha wetu mwinyi zahera

DAIMA MBELE NYUMA MWIKO

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona hivyo basi ujue simba imewashinda kisaikolojia.
 
Wakitaka wakae hotel hata 20, kipigo hawa wakongo lazma wachezee as long washa kanyaga aridhi ya Tz
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom