As Thika Road, Mombasa Road and Waiyaki way BRT are under construction, Scania East Africa ventures into production of High capacity buses in Nairobi

yaank watu hawajaanza hata kuchimba barabara,tayari wameanza kuunda buses.
Huu nao ni mto?

2.jpg
 
Vile hata mkinjengaga 1 micro Millimeter ya BRT ndiyo Mni tag. Hicho mnachojenga hamna ananayejua ni nini, maana hata Sign Board hamna.

Yaani mnatia huruma sana kwa namna mnavyoteseka kwa hiyo BRT, niliwahi kuitumia mara kadhaa na ilinikera sana, nilijikuta natoka nje ya hivyo vituo na kutafuta usafiri mwingine hata baada ya kulipia.
 
Yaani mnatia huruma sana kwa namna mnavyoteseka kwa hiyo BRT, niliwahi kuitumia mara kadhaa na ilinikera sana, nilijikuta natoka nje ya hivyo vituo na kutafuta usafiri mwingine hata baada ya kulipia.
Basi zao za mwendokasi huwakawaka moto zikijisikia Ssijui shida ni gani..jamaa amebeba furushi lake la malimau na mafenesi, ghafla basi linawaka moto..jamaa yuashuka mbio aokoe roho yake, akifika inje ndio yuakumbuka malimau yake yanaungua pamoja na gari..vituko kweli
 
so brt buses zitapita juu huko!!!
Mombasa road is being rebuilt. It's a complete makeover from what it is today. It's not just about the elevated expressway alone. If anything, huu mradi unaanzia mlolongo but the elevated section inaaanzia just after Southern bypass interchange, which is several kilometers away from Mlolongo . Kwani Kutoka mlolongo hadi southern bypass interchange watakua wakijenga nini?
 
Yaani mnatia huruma sana kwa namna mnavyoteseka kwa hiyo BRT, niliwahi kuitumia mara kadhaa na ilinikera sana, nilijikuta natoka nje ya hivyo vituo na kutafuta usafiri mwingine hata baada ya kulipia.
huruma unatia wewe ambaye unaishie ndotoni,BRT kwa sasa shida zimebaki historia.tuko phase 3 ujenzi.

nyinyi ndio kwanza mnapaka lipstics
 
huruma unatia wewe ambaye unaishie ndotoni,BRT kwa sasa shida zimebaki historia.tuko phase 3 ujenzi.

nyinyi ndio kwanza mnapaka lipstics

Watu wanateseka sana kwa hiyo BRT, wengi wanaomba bora madaladala yale machafu yanayonuka shombo maana kidogo yanafanikisha.
 
Watu wanateseka sana kwa hiyo BRT, wengi wanaomba bora madaladala yale machafu yanayonuka shombo maana kidogo yanafanikisha.

huu mradi uko 15% hiyo route inapopita brt bado mahitaji ni makubwa kuliko uwezo wake,unategemea zisiwepo kasoro!!!!
daladala bado zinapandwa.
 
🤣🤣🤣

Ila hawajui kinachoendelea maanake kila siku wanakejeli red-line. Hawajui Thika road is being converted into a standard BRT while Expressway Itakua na more impressive BRT than what they have down south.
Unajua shida iko hapa....

Kizungu iliwapiga chenga kitambo so wakisikia integrated transportation infrastructure....all they here is "no BRT". Hawaelewi integrated means BRT, commuter rail, matatu, taxis, and personal transportation.

That's why they fail to see the bigger picture because we use terms such as "integrated transportation infrastructure". A concept that they can't wrap their heads around
 
This is how it could look – the BRT! Scania East Africa has designed a bus ready for the Nairobi BRT! Our Ambassador Caroline Vicini and others from the Embassy visited Scania this week and had a chance to experience the bus. We hope that these well-designed, wheelchair accessible, comfortable buses will have a chance to be part of Nairobi! (You do know that Scania is a Swedish company?)
FB_IMG_1616212119816.jpg
FB_IMG_1616212123072.jpg
FB_IMG_1616212125555.jpg
FB_IMG_1616212128395.jpg
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom