As the nwo globalists devastate texans with weaponized weather, what should be the lesson to the rest of the world?

Kiranga do not pull me into a stupid discussion,Satan is a spirit being kwa hiyo you cannot prove scientifically that he exists.Lakini wewe si unamuabudu,sasa unaabudu nini kama hayupo?
Wewe si ndiye umejinadi kutaja sayansi hapa?

Sasa huamini sayansi tena, unaamini uchawi?

Bloody fool.
 
Nimeamini uchawi how?Explain.
Kuamini kuwa Shetani yupo, na kuamini uchawi, tofauti ni ipi?

Zote ni supernatural beliefs ambazo hazina scientific basis wala evidence.

Ndiyo maana unapojibaraguza kuhusu sayansi, nikikwambia thibitisha huyo shetani yupo, kisayansi, unashindwa.

Thibitisha Shetani yupo. Kisayansi.
 
Kuamini kuwa Shetani yupo, na kuamini uchawi, tofauti ni ipi?

Zote ni supernatural beliefs ambazo hazina scientific basis wala evidence.

Ndiyo maana unapojibaraguza kuhusu sayansi, nikikwambia thibitisha huyo shetani yupo, kisayansi, unashindwa.

Thibitisha Shetani yupo. Kisayansi.
Mkuu basi yatosha, uthibitisho haupo! 😂

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Kwamba nawaonea hawawezi kufanya ice nucleation?This is science mkuu,ninyi bado mpo kwenye zama za kale kwamba hizi ni natural phenomenon,mmechelewa sana.Weather modification for droughts,floods,hurricanes,volcanoes,tordaoes,ice nucleation kama hii ya Texas tayari ni patented.Naomba ufanye utafiti kidogo.Tafuta kitu kinachoitwa HAARP(High Frequency Active Auroral Research Programme),kiko located in Gakona,Alaska.It is managed by DARPA,the University of Alaska and the US Millitary.The facilitate ty can do any weather modification.alafu inaelekea hujui maana ya conspiracy,kama kawaida yenu.Tafuta maana halisi ya conspiracy.Mimi siwezi kufanya conspiracy unayo-maanisha wewe,this can only be done by governments and big international organizations(private and governmental).Mnawekewe tu maneno midomoni na baba yenu Shetani,kataeni,have independent minds.
Ndugu Mathanzua, wewe endelea kusema. Watakubeza, watakupinga na kukukejeli lakini usiache kusema.

Sema, sema tena, sema zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom