Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,007
- 13,799
Upo sahihi ila hiyo ni maana mojawapo... Mtu akikwambia "abbreviate your speech"anamaanisha nini au anakuwa kakosea?Mkuu, kwanza siyo article yake, pili siyo ku-abbreviate ni ku-summerise. Abbreviation ni kama CCM katika Chama Cha Mapinduzi, au SM katika Serikali za Mitaa.
Basi ulipaswa kusema try to summarize the article