As A Man, Is It Proper To Know The Virginity Status Of Your 18+ Female Child.

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Is it proper as a father to ask your daughter (above 18) if she as never Be Intimate before.

I'm talking of the girl child still under your roof as a single girl.

ni sawa kwa wababa kumuuliza mtoto wako wa kuanzia miaka 18 kama bado yuko bikira,ikiwa uyo mtoto bado yuko chini yako unaishi naye
 
Afu ukishauliza inakusaidia nini?

Kama anayo utafanyaje?
Kama hana utafanyaje pia?
 
Is it proper as a father to ask your daughter (above 18) if she as never Be Intimate before.

I'm talking of the girl child still under your roof as a single girl.

ni sawa kwa wababa kumuuliza mtoto wako wa kuanzia miaka 18 kama bado yuko bikira,ikiwa uyo mtoto bado yuko chini yako unaishi naye
Kwani vipi unataka uiwahi mwenyewe!
 
wewe utakuwa baba wa kambo, umejawa na udenda, mtoto wa kufikia katakata imekuwa nongwa
 
Umeipata lini hiyo haki ya kujua kama anamegwa??

Angalia usije dai haki ya kuanza kummega, si wako bana!

kuuliza tu,kama maswali mengine,nataka kujua tu kama ni sawa ama si swa,sababu ni mtoto wako una haki ya kujua
 
damn strait ni haki!!! nani anataka kulewa mtoto ambaye anagawa papuchi kama peremende as a matter of fact i demand kuwa daughter wangu aolewe akiwa virgin....brings honour and respect to the family name.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom