ARV zatumika kunenepesha "kitimoto"

Sumji

R I P
Jun 11, 2009
34
0
Ndugu zangu wana JF,
Hivi karibuni nimesikia kuwa dawa za ARV (sijui kirefu chake nini) lakini ni zile zinazotumiwa na watu wanaoishi na VVU kuwa sasa hivi wafugaji wa kitimoto wanazitumia kunenepeshea au kulisha mifugo yao. Wafugaji wa Kyela nasikia ndio wanaotumia sana.

Nimeleta hoja hii hapa ili nijue kama ni kweli, maana watu kama "MFUKUNYUZI" wanaweza kuwa taarifa nzuri zaidi au wanaweza kutusaidia kufukunyua zaidi. Lakini cha muhimu ni kujua kama kunaweza kuwa na madhara yoyote kwa watumiaji wa chakula hicho mbali na hasara itakayopatikana kwa dawa kutowafikia wahusika.

nawasilisha
 
We mkuu endelea kula hakuna chochote hizo ni Propaganda tu ili tuache kula - tutaendelea kukutafuna kama kawaida.

utasikia mengi tu kuhusu nguruwe - mwisho watajasema nguruwe anaambukiza ukimwi...
 
Kwanza kama wanawapa nguruwe ARVs basi ni kinga tosha ya VVU au siyo??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom