ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Ukimwi ni ngumu sana kuupata na ni rahisi sana kuupata kazio kwenye hili eneo mpaka unapata ukimwi ni umeutafuta kwa tochi punguzeni ujuaji kwenye bed ukimwaga inatosha akikudharau unapungukiwa nini?
Ata mimi huwa nawaambia vijana wenzangu haya haya maneno.
 
Mkuu kama hutojali..


Kabla ya kugundulika una maambukizi

Je ni dalili gan za awali ulizokua nazo kiasi ukaamua kwenda kupima HIV?

Au ulikua poa tu sema ukaamua kuchek afya yako???
 
Mimi nikiwa kavulana nilikuwa na jimama langu linanilea, kuna siku lilisafiri kibiashara, likaniachia nyumba niwe muangalizi,

Sijui kitu gani kilifanya nipekue pekue kule chumbani, bahati mbaya/ nzuri likasahau kufunga dro ya kabati.

Si nikakumbana na mikadi ya mahudhurio yameandikwa CTC

Yalikuwa ya kuchukulia dawa. Nilichanganyikiwa ,asubhuhi na mapema nikayabeba makadi hadi hiyo hospitali yenye hiyo kriniki,ilikuwa hospitali ya wilaya.

Wakanijibu huyu mtu anahudumiwa hapa miaka mingi tu, ni nani yako? Nikawambia ni mpenzi wangu,wakashangaa, wewe kijana limama lote lile la nini? Itabidi tukupime mara tatu kila baada ya miezi mitatu.

Lakini kwakanionya sio vizuri kupekuwa na kubeba vitu binafsi vya watu bila ridhaa yao.
Nilipima majibu yakawa safi ,sikupata maambukizi.
Sasa bhana wakati natoka nimeshika makadi yale nakuta watu kama 100+, wana kama mkutano hivi,waliponiona na zile kadi wamama wakajishika kichwa kwa mshangao.
Nahisi walidhani ni mtumiaji wa yale madawa nakipindi hiko nilikuwa mvulana mdogo.
UKIMWI upo ,tena watu wengi mitaani wanao.
Jinsi alivyorudi na kumpa taarifa ,na jinsi mama alivyolipokea ile taarifa,hiyo ni kesi ingine,pale ndio nilijua uchungu wa mwana aujuae mzazi
Hapo shukuru inaonekana K ya huyo mother ilikuwa swimming pool kwako.
 
Huyu bwana mwaka fulani sikumbuki exactly hasa ilikuwa mwaka gani alipandisha uzi wake hapa akizitaja corner zote Dar wanakojiuza malaya na akaenda mbali zaidi kuwataja baadhi yao kwa majina na # zao za simu akawa ameweka kwa wale watakotaka kuwatafuta.

Tuishi kwa tahadhari tukizithamini afya zetu.
Kama anao basi itakuwa ni Salma t*ako wa Sinza pale ndio kamuambukiza, huyo kaua wengi sana nayeye ni mtumiaji wa ARV kwa miaka mingiii.
 
Back
Top Bottom