ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

Kuna hosp nilikuaapo wakat nipo Internship , Kwa siku wagonjwa wapya wa huu ugonjwa walikua wakigundulika 20--30 kila siku.


Kwa CTC sasa ndo usiseme


Muhim watu watumie ndom, na hata ukigundulika Ni vema Uanze dawa, dawa zinaongeza maisha marefu na kupunguza usambazaji.
CTC ndo nini mkuu?
 
Wazazi wng wote waliondoka kwa ugonjwa huu na kuniacha mdogo sn mi na dada zangu..upande wa mama yaani ujombani walizaliwa watoto kumi wakike sita wakiume wanne ila mpaka muda huu wamebaki wajomba tu,hao wakike akiwemo mama waliondoka na ugonjwa huu jumlisha waume zao,tena ule ukimwi wa zamani..huu ugonjwa huwa nkiusikia nakosa raha kabisa nilishaathiriwa kisaikolojia..MUNGU atuepushe jamani.
Pole mkuu
 
Pole mkuu utazoea dawa tu
Wakuu suala la kumeza ARV kwa maisha yako yote toka kugundulika umeathirika usikie tu kwa jirani. Siku za mwanzo maluwe-luwe Kama yote. Tuache ngono zembe. Vaa kondomu ndugu, ule utelezi na joto-joto litakugharimu. I tell you!

UPDATE
Kama umeoa bora kumtaarifu mapema mwenzio maana siku ukibumbuluka aibu yake unaweza kujaza shazi mtaani.

**Wake zetu wagalatia si unajua vichwa vibovu
!
 
watu bado wananyanduana peku tu kmmk kwakweli aliyeweka ule utelezi atamaliza wengi, ila sikuhizi naona sio iiishuuuuu kivile watu washaona kawaida tu kama ilivyokua korona mwanzo watu walishtuuuka sasahivi hata mikono hawanawi tena kama mwanzoni.
 
Back
Top Bottom