Arusha yasaini Makubaliano kibiashara na jimbo la China, Dar es alaam yasubiri viwanda vya machinga

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
4,240
9,527
Arusha. Halmashauri ya Jiji la Arusha imesaini makubaliano na Jimbo la Hubei nchini China ili kuwasaidia jiji hilo katika nyanja za kilimo, biashara, sayansi na teknolojia.

Akizungumza mara baada ya kuingia makubaliano hayo leo, Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro amesema makubaliano hayo ni ya mwaka mmoja na yanatarajia kufungua fursa mbalimbali za kibiashara baina ya pande zote mbili.

Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Athuman Kihamia amesema wanalenga Arusha kuwa miongoni mwa majiji bora kibiashara na hivyo makubaliano hayo yatasaidia wafanyabiashara jijini hapa kufungua milango ya kibiashara na jimbo la Huangshi nchini China.

Makamu mwenyekiti wa kamati maalumu ya Bunge la Huangshi nchini China, Weng Bin alisema mbali na biashara, makubaliano hayo yatafungua fursa mbalimbali kwa walimu wanaofundisha lugha ya Kiswahili mkoani Arusha kwenda kufundisha nchini China.
 
Gambz asijeingiza tena sumu hapo,
Maana ile hospital bado hatma yake haijulikani!!
 
safi sana arusha dodoma sijui mtabadilika lini pamoja na singida maana mnakumbatia fisiem
Dodoma hawana shida wao wakipewa kanga na kofia na kilo 1 ya chumvi kiroho kwatu,

nina mpango wa kutafuta jimbo huko cheap sana.
 
Ile mitu naitwa GUMBOZ.. GAMBUSH...oops GAMBOOO ...
mekwisha onahiii? hii jamaa haribif sansana.. apana onyesa hii taarib
 
safi sana arusha dodoma sijui mtabadilika lini pamoja na singida maana mnakumbatia fisiem
Unataja Dodoma? Mbona hutaji:- Mbeya Jiji, Momba, Mlimba, Kilombero, Hai, Rombo, Arumeru, Karatu,Siha, Babati mjini,Simanjoro,Ukonga, Mikumi, etc nadhani umenielewa
 
Hapa Dar tunaendelea na mchakato wa kuwabinafsisha wamachinga barabara ya msimbazi ili waendelelee kuchomea mihogo na kukaangia vichwa vya kuku , utumbo na miguu .
 
Dodoma hawana shida wao wakipewa kanga na kofia na kilo 1 ya chumvi kiroho kwatu,

nina mpango wa kutafuta jimbo huko cheap sana.

na dodomaAchanadkwani arusnyiearushashida

,kwani nyie arusha mna nini,dodoma ndo mpango wote wachina wataleta watu wao nyie mtabaki maktime .
 
Hapa Dar tunaendelea na mchakato wa kuwabinafsisha wamachinga barabara ya msimbazi ili waendelelee kuchomea mihogo na kukaangia vichwa vya kuku , utumbo na miguu .
Juzi nilimsikia Simbachawene akisema wakurugenzi wa halmashauri /manispaa, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wasimzirie rais katika tamko juu ya machinga.
Inaonekana kuna walioshtuka kuwa wanalazimishwa kuwa wajinga.
 
Very true .
 
Arusha. Halmashauri ya Jiji la Arusha imesaini makubaliano na Jimbo la Hubei nchini China ili kuwasaidia jiji hilo katika nyanja za kilimo, biashara, sayansi na teknolojia.

Akizungumza mara baada ya kuingia makubaliano hayo leo, Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro amesema makubaliano hayo ni ya mwaka mmoja na yanatarajia kufungua fursa mbalimbali za kibiashara baina ya pande zote mbili.

Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Athuman Kihamia amesema wanalenga Arusha kuwa miongoni mwa majiji bora kibiashara na hivyo makubaliano hayo yatasaidia wafanyabiashara jijini hapa kufungua milango ya kibiashara na jimbo la Huangshi nchini China.

Makamu mwenyekiti wa kamati maalumu ya Bunge la Huangshi nchini China, Weng Bin alisema mbali na biashara, makubaliano hayo yatafungua fursa mbalimbali kwa walimu wanaofundisha lugha ya Kiswahili mkoani Arusha kwenda kufundisha nchini China.

Arusha. Halmashauri ya Jiji la Arusha imesaini makubaliano na Jimbo la Hubei nchini China ili kuwasaidia jiji hilo katika nyanja za kilimo, biashara, sayansi na teknolojia.

Akizungumza mara baada ya kuingia makubaliano hayo leo, Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro amesema makubaliano hayo ni ya mwaka mmoja na yanatarajia kufungua fursa mbalimbali za kibiashara baina ya pande zote mbili.

Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Athuman Kihamia amesema wanalenga Arusha kuwa miongoni mwa majiji bora kibiashara na hivyo makubaliano hayo yatasaidia wafanyabiashara jijini hapa kufungua milango ya kibiashara na jimbo la Huangshi nchini China.

Makamu mwenyekiti wa kamati maalumu ya Bunge la Huangshi nchini China, Weng Bin alisema mbali na biashara, makubaliano hayo yatafungua fursa mbalimbali kwa walimu wanaofundisha lugha ya Kiswahili mkoani Arusha kwenda kufundisha nchini China.

Mkuu Arusha inaingia mahusiano ya kibiashara na jimbo gani hasa? juu umesema HUBEI chini.umesema HUANGSHI
 
Back
Top Bottom