ARUSHA: Watu wawili wafariki kwa kuchomwa moto bila nyumba kuungua

Au wllafumaniwa kumdhibiti uyo jamaa yaan napata maswali mengi kichwani yani uyo mwanaume katulia kabisa kachomwa yani vichwa viwili vimeshindwa kujinasua kweli???
Mkuu ukichunguza hiyo picha kwa makini jamaa kama walimfunga mikono, na kuna uwezekano waliwazimisha kwanza then wakawachoma. Hakika huu ni ukatili Mungu awalaze mahala wanapostahili.
 
Hapana kwa kweli hakuna haki ya kuumiza binadam mwenzako hv ,,,nimeumia sana
Muache tamaaa na usaliti tunabeba zege na kufanya kazi ngumu ili mpendeze na kuwajali then mnakuja kuchepuka unasahau wema wote haya ndio malipo yake.Mungu awalaze mahali panapostahili
 
Daaahhh m js speechless
Umechoma moto wenzio na we utaozea jela...tuwe watu wema katika jamii panda ubaya utavuna ubaya,panda wema utauvuna wema tuu
 
Omba sana Mungu wako akuepushie kadhia hiyo. Mapenzi ndio ugonjwa pekee unaoua kwa haraka na hautibiki. Mke anaumiza ukimfumania
Ukiniambia tunatofautiana kwenye huo ugonjwa wa kupenda nitakuelewa lakini uniambie naweza kufikia ujinga wa kiwango cha juu hivi sii kweli.
 
Woooi Ruwa Mangi, kuanzia leo sichepuki tena. Ila hata kama ni wachepukaji wameuwawa kikatili sana, tangulieni ndugu zetu, kila nafsi itaonja mauti.
 
Back
Top Bottom