Elections 2010 Arusha waongoza kata nyingi za udiwani

Meale

Member
Nov 24, 2009
91
0
Matokeo rasmi mpaka sasa Chadema inaongoza kata 10 kati ya kata 19. Tayari barabara kadhaa zimefungwa kutokana na watu kujaa wakishangilia. Mgombea ubunge wa Chadema Lema yupo katika kituo cha majumuisho ya kura wakati Dr. Buriani amekataa kupokea simu. Katka hali iliyowashangaza wengi diwani kata ya Kaloleni ambaye amefuga nywele (rasta) kijana wa miaka 26 Charles Philipo amemwangusha vibaya mgombea udiwani CCM ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM mkoa licha ya kampeni chafu zilizokuwa zinaendeshwa na CCM kwamba ni mvuta bangi kutokana na muonekano wake ulivyo.

Source: star tv.
 
du nafikiri popote walipo JK, Makamba na Msomali Kinana watakuwa wanaumiza vichwa namna gani wafanye kuchakachua kura! Wapiganaji jitahidini kuwa na kumbukumbu sahihi 'audit trail' otherwise NEC watafanya waliyozoea kufanya!
 
Kwa Hapa Arusha Chadema wako juuuuuuuuuuuu !!!! Katika Kata ya Kimandolu udiwani walifunguana mashati
mapema kwa Mr Malla wa Chadema kuibuka na ushindi mnono !!!!
 
Moshi uspime kata 19 kati ya 23 zimechukuliwa na chadema ni full sherehe hureeeeeeeeeee
 
wera wera aaaa..... sasa tuwe machö na takwimu za urahisi ili tupate ushindi wa kishindo
 
du nafikiri popote walipo JK, Makamba na Msomali Kinana watakuwa wanaumiza vichwa namna gani wafanye kuchakachua kura! Wapiganaji jitahidini kuwa na kumbukumbu sahihi 'audit trail' otherwise NEC watafanya waliyozoea kufanya!
Na wengine presha zitakuwa zimewapanda au kushuka.
 
Back
Top Bottom