Arusha vs Dar

fluid

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
354
220
Katika umri wangu wa karibu miaka 40, nusu ya maisha yangu nimeishi katika sehemu hizi mbili zilizoendelea kuliko sehemu yeyote Tanzania kwa nyakati tofauti. Kama ilivyo Dar na ndivo ilivyo A town (namaanisha Arusha mjini tu) na Dar City.Watu wa A town ni watu very laid back (watulivu) ata bondia au baunsa huwa hana mapepe, calculated, na hawawezi kuongea sana, ila ni wababe sana,wajanja wa mjini kuliko wanavoonekana.

Ni wavumilivu wa kejeli lakini wakilipuka huwa hatari sana kwa maisha ya binadamu.Tukirudi Dar city, ni mji mkuu wa kiserikali na pia kiuchumi. Kila kitu kinaanzia hapa, kuna rundo la kila aina ya watu, wanajulikana kwakusemasema hovyo na kuamini kua wao ndio wanajua kila kitu katika nchi hii.

Ni jiji lililojaa fursa ambazo wageni ndio wanafaidi kwa sana huku wenyeji, wakiongoza kwa uvivu hivyo kuwapelekea kupenda kazi za kijanjajanja na mission town kama udalali na uuzaji madawa ya kulevya. Wanahisi kama wao kuzaliwa Dar city wameongezewa miguu na mikono.

Ni watu wa majivuno pasipo mipango yeyote wanayehisi ni mjanja kuliko wao watamchukia na kumfitini sana, mfano watoto wa Arusha. Siku za karibuni, nimegundua watu wa Dar kama wanakahusda flani hivi juu ya watu wa Arusha ata nilivokuwa Marekani niliona hii(kwa short course), na siyo Mbeya wala wapi, na hii utaiona kuanzia kwenye maofisi mpaka kwenye sanaa nk. Najiuliza ni kwanini?
 
Habari ya kusema watu ni watulivu wasiyo na mawaa ni Mwanza pekee,huko ndo kuna watu wana pesa mingi na hauwakuti na ma pisto viunoni kama Arusha,na pia ukisema Dar na Ar ni sawa umejidanganya,jiji lolote duniani lililo mwambao wa maji hua ni jiji zuri na linakua kiuchumi.pole ndugu
 
Unadhani haijaendelea? Kipi Kipo dar hakipo Arusha. Wao ndio mji mwenye watumiaji wengi wa internet kwa asilimia, east and central Africa kwa mfano
Hahahahaaaa.... dah!

Haya ngoja niendelee kuwasoma vijana. Mpaka shule zifunguliwe tutasikia mengi
 
Katika umri wangu wa karibu miaka 40, nusu ya maisha yangu nimeishi katika sehemu hizi mbili zilizoendelea kuliko sehemu yeyote Tanzania kwa nyakati tofauti. Kama ilivyo Dar na ndivo ilivyo A town (namaanisha Arusha mjini tu) na Dar City.Watu wa A town ni watu very laid back (watulivu) ata bondia au baunsa huwa hana mapepe, calculated, na hawawezi kuongea sana, ila ni wababe sana,wajanja wa mjini kuliko wanavoonekana.

Ni wavumilivu wa kejeli lakini wakilipuka huwa hatari sana kwa maisha ya binadamu.Tukirudi Dar city, ni mji mkuu wa kiserikali na pia kiuchumi. Kila kitu kinaanzia hapa, kuna rundo la kila aina ya watu, wanajulikana kwakusemasema hovyo na kuamini kua wao ndio wanajua kila kitu katika nchi hii.

Ni jiji lililojaa fursa ambazo wageni ndio wanafaidi kwa sana huku wenyeji, wakiongoza kwa uvivu hivyo kuwapelekea kupenda kazi za kijanjajanja na mission town kama udalali na uuzaji madawa ya kulevya. Wanahisi kama wao kuzaliwa Dar city wameongezewa miguu na mikono.

Ni watu wa majivuno pasipo mipango yeyote wanayehisi ni mjanja kuliko wao watamchukia na kumfitini sana, mfano watoto wa Arusha. Siku za karibuni, nimegundua watu wa Dar kama wanakahusda flani hivi juu ya watu wa Arusha ata nilivokuwa Marekani niliona hii(kwa short course), na siyo Mbeya wala wapi, na hii utaiona kuanzia kwenye maofisi mpaka kwenye sanaa nk. Najiuliza ni kwanini?
Arusha ni haifai kihadhi mbele ya dar labda kwa mtu ambaye hakuwai kufika ndio atakuelewa.
 
Huu uzi ulianzishwa na mtu mwenye chuki na dar lakini aliiweka Arusha kama kisingizioo...

Dar ni foreign city in Tz....hakuna wa kuilinganisha nalo katika urbanization

Labda dar uilinganishe na mikoa mingine kwa hali ya maisha kwa watu wenye kipato cha kati na chini lakini kwa hii criteria arusha haipo pia....
 
Back
Top Bottom