M MPadmire JF-Expert Member Mar 7, 2006 3,928 3,225 Apr 20, 2011 #1 Jamani kunani Arusha? Nini kinaendelea? Mbona tena WabongE wa chama Twawala walipitisha budget? Nilifadhaishwa sana na hawa mafisadi, kwa nini wanatumia mabavu na udikteta?
Jamani kunani Arusha? Nini kinaendelea? Mbona tena WabongE wa chama Twawala walipitisha budget? Nilifadhaishwa sana na hawa mafisadi, kwa nini wanatumia mabavu na udikteta?