Arusha: Vigogo Sita AUWSA Kortini kwa uhujumu uchumi wa Tsh bilioni 5.3

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Arusha imewafikisha mahakamani vigogo Sita wa Mamlaka ya Maji jijini Arusha (Arusha Urban Water Supply and Sanitation Authority-AUWSA), akiwemo aliyekuwa mkurugenzi wa Auwsa Mhandisi Ruth Koya Kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka, kula njama na kujipatia manufaa ya Kiasi cha sh,bilioni 5.3 kinyume Cha sheria.

Mbali na washtakiwa hao , pia mkurugenzi wa kampuni ya Kiure engineering ltd,Omari Kiure Mkazi wa jijini hapa ambapo katika shauri hilo washtakiwa wapo Saba wamepandoshwa kizimbani.

Vigogo wengine waliopanda kizimbani ni Benedict Kitigwa,James Mwambona,Steven Msenga , Godfrey Macha na Juma Mkwawa wote wakiwa wafanyakazi wa mamlaka hiyo jijini Arusha.

Akisoma mashtaka hayo Mbele ya hakimu ,Herieth Mtenga wa mahakama ya hakimu Mkazi Arusha, Mwendesha mashtaka wa Takukuru Violet Machali alisema.watuhumiwa hao Kwa pamoja walitenda makosa manne ya uhujumu uchumi na kujipatia kiasi cha sh,bilioni 5.310,823,214.

Alisema kosa la kwanza linawahusu washtakiwa wote Kwa pamoja ambapo Kati ya Desemba ,2017 na Oktoba mwaka 2018 Katika eneo la jiji la Arusha washtakiwa hao walikula njama kupitia Mradi wa Maji wa Kanda na kuipatia manufaa isiyostahili kampuni ya ujenzi ya Kiure engineering ltd ya jijjni hapa bila kufuata taratibu za manunuzi.

Alisema kosa la pili ni matumizi mabaya ya madaraka ambalo linalomhusu mshtakiwa wa kwanza Mhandisi Ruth Koya

ambaye anadaiwa akiwa mtumishi wa umma na akijua kwamba ni kosa kisheria.

Aliwezesha kampuni ya Kiure engineering LTD kupata mkataba wa ujenzi wa ofisi za Kanda za Auwsa kitendo kilichopelekea kampuni hiyo kupata manufaa ya sh, bilioni 5.3 kinyume cha sheria ya manunuzi ya mwaka 2011kifungu Cha 36(5).

Alisema shitaka la tatu na la nne linawahusu mshtakiwa wa 1,2,3,4 na 5 ambao ni Ruth Koya, Benedict Kitigwa ,James Mwambona ,Steven Msenga na Godfrey Macha ambalo Kati ya mwezi Desemba 2017 na Oktoba 2018 wote Kwa pamoja walitumia vibaya madaraka.yao na kupelekwa kampuni ya Kiure engineering ltd kupata manufaa ya shbilion 5.3.

Baada ya mwendesha mashtaka kusoma mashtaka hayo ,aliieleza mahakama hiyo kwamba upande wa jamhuri hautakuwa na kipingamizi Cha dhamana iwapo mahakama itaona inafaa washtakiwa kupata dhamana.

"Mh Hakimu sisi upande wajamhuri hatuna pingamizi la dhamana tunaomba tarehe nyingine Kwa ajili ya washtakiwa kuwasomea maelezo ya awali kwani upelelezi wa shauri hili umekamilika"alisema Machali

Hakimu Mtega alisema dhamana kwa washtakiwa ipo wazi na kwamba watapaswa kuwa wadhamini wawili akiwemo mtumishi wa umma mwenye kitambulisho na barua ya utambuzi kutoka kwa mwajiri wake,na Mdhamini atasaidi Bondi ya mali isiyohamishika yenye thamani ya shilingi milioni 20.

Washitakiwa hao kwa pamoja wanatetewa na wakili Robert Rogati na wote walitimiza masharti hayo na wapo nje Kwa dhamana Hadi kesi Yao itakapokuja Kwa ajili ya kusomewa maelezo ya awali septemba 9,mwaka huu mara baada ya upande wa jamhuri kudai kuwa upelelezi wa shauri Hilo umekamilika.

Hakimu aliahairisha kesi hiyo hadi Desemba 9 mwaka huu itakapokuja Kwa ajili ya washtakiwa kusomewa Mashtaka ya awali.

Ends..

IMG_20210831_143311_816.jpg
 
Procurement regulations. Kwa mradi wa bilioni 5.3, duu!!, sijui, lakini nadhani ni kazi ya Headquarters au Wizarani chini ya Karibu Mkuu. Anyway, sijui.
 
Baada ya mwendesha mashtaka kusoma mashtaka hayo ,aliieleza mahakama hiyo kwamba upande wa jamhuri hautakuwa na kipingamizi Cha dhamana iwapo mahakama itaona inafaa washtakiwa kupata dhamana.
"Mh Hakimu sisi upande wajamhuri hatuna pingamizi la dhamana tunaomba tarehe nyingine Kwa ajili ya washtakiwa kuwasomea maelezo ya awali kwani upelelezi wa shauri hili umekamilika"alisema Machali

Kesi imeshaisha kabla haijanzana. Aliyesema tuhamie Burundi alikosea sana Tanzania sihami full stop.
 
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Arusha imewafikisha mahakamani vigogo Sita wa Mamlaka ya Maji jijini Arusha (AUWSA),akiwemo aliyekuwa mkurugenzi wa Auwsa Mhandisi Ruth Koya Kwa kosa la matumizi mabaya ya madaraka, kula njama na kujipatia manufaa ya Kiasi cha sh,bilioni 5.3 kinyume Cha sheria.

Mbali na washtakiwa hao , pia mkurugenzi wa kampuni ya Kiure engineering ltd,Omari Kiure Mkazi wa jijini hapa ambapo katika shauri hilo washtakiwa wapo Saba wamepandoshwa kizimbani.

Vigogo wengine waliopanda kizimbani ni Benedict Kitigwa,James Mwambona,Steven Msenga , Godfrey Macha na Juma Mkwawa wote wakiwa wafanyakazi wa mamlaka hiyo jijini Arusha.

Akisoma mashtaka hayo Mbele ya hakimu ,Herieth Mtenga wa mahakama ya hakimu Mkazi Arusha, Mwendesha mashtaka wa Takukuru Violet Machali alisema.watuhumiwa hao Kwa pamoja walitenda makosa manne ya uhujumu uchumi na kujipatia kiasi cha sh,bilioni 5.310,823,214.

Alisema kosa la kwanza linawahusu washtakiwa wote Kwa pamoja ambapo Kati ya Desemba ,2017 na Oktoba mwaka 2018 Katika eneo la jiji la Arusha washtakiwa hao walikula njama kupitia Mradi wa Maji wa Kanda na kuipatia manufaa isiyostahili kampuni ya ujenzi ya Kiure engineering ltd ya jijjni hapa bila kufuata taratibu za manunuzi.

Alisema kosa la pili ni matumizi mabaya ya madaraka ambalo linalomhusu mshtakiwa wa kwanza Mhandisi Ruth Koya

ambaye anadaiwa akiwa mtumishi wa umma na akijua kwamba ni kosa kisheria.

Aliwezesha kampuni ya Kiure engineering LTD kupata mkataba wa ujenzi wa ofisi za Kanda za Auwsa kitendo kilichopelekea kampuni hiyo kupata manufaa ya sh, bilioni 5.3 kinyume cha sheria ya manunuzi ya mwaka 2011kifungu Cha 36(5).

Alisema shitaka la tatu na la nne linawahusu mshtakiwa wa 1,2,3,4 na 5 ambao ni Ruth Koya, Benedict Kitigwa ,James Mwambona ,Steven Msenga na Godfrey Macha ambalo Kati ya mwezi Desemba 2017 na Oktoba 2018 wote Kwa pamoja walitumia vibaya madaraka.yao na kupelekwa kampuni ya Kiure engineering ltd kupata manufaa ya shbilion 5.3.

Baada ya mwendesha mashtaka kusoma mashtaka hayo ,aliieleza mahakama hiyo kwamba upande wa jamhuri hautakuwa na kipingamizi Cha dhamana iwapo mahakama itaona inafaa washtakiwa kupata dhamana.

"Mh Hakimu sisi upande wajamhuri hatuna pingamizi la dhamana tunaomba tarehe nyingine Kwa ajili ya washtakiwa kuwasomea maelezo ya awali kwani upelelezi wa shauri hili umekamilika"alisema Machali

Hakimu Mtega alisema dhamana kwa washtakiwa ipo wazi na kwamba watapaswa kuwa wadhamini wawili akiwemo mtumishi wa umma mwenye kitambulisho na barua ya utambuzi kutoka kwa mwajiri wake,na Mdhamini atasaidi Bondi ya mali isiyohamishika yenye thamani ya shilingi milioni 20.

Washitakiwa hao kwa pamoja wanatetewa na wakili Robert Rogati na wote walitimiza masharti hayo na wapo nje Kwa dhamana Hadi kesi Yao itakapokuja Kwa ajili ya kusomewa maelezo ya awali septemba 9,mwaka huu mara baada ya upande wa jamhuri kudai kuwa upelelezi wa shauri Hilo umekamilika.

Hakimu aliahairisha kesi hiyo hadi Desemba 9 mwaka huu itakapokuja Kwa ajili ya washtakiwa kusomewa Mashtaka ya awali.

Ends..

Hakuna kesi Hapo ni kupotezeana mda tu
 
Licha ya roho mbaya aliyokuwa nayo magufuli kama wanavyodai watu ila alionyesha kwamba hii nchi kama pesa zinatumika ipasavyo basi,

tungekuwa mbali sana ila hizi tozo za wananchi ndo zinachezewa hivi halafu wanasema tuwe wazalendo.
 
Kiure kila siku ana post project complete, project complete Facebook, kumbe complete ndo hii? Huyu mate vipi? Baba yake alikuwa mtu safi sana
😄😄😄 ameshaonja utamu wa pesa mkuu,Ni mwendo wa madili tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom