Arusha: Tukio la ajabu mtoto wa kike wa miaka 13 amepotea atayemwona atoe taarifa katika kituo cha Polisi

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Taarifa za uhakika ambazo nimezipata kutoka Jijini Arusha kuna mtoto wa Miaka 13 Amepotea kuanzia siku ya jumamosi jioni ...
Anaitwa Norini Alex Mrima amepotea kuanzia siku ya jumamosi jioni baada ya kuondoka nyumbani hakurudi tena ni mwenyeji wa kata ya Sinoni Jijini Arusha .Taarifa hizi zimeripotiwa katika kituo cha Polisi UNGALTD Jijini Arusha. UNG/RB/2350/2018
Msaada atayemwona popote anaweza kutoa taarifa katika kituo cha Polisi chochote. Au anaweza kuwasiliana na ndugu zake kwa namba hizi 0765345703
Tahadhari usipige simu wala kutuma sms kama hujamwona anayefutwa {Norini}

IMG-20180723-WA0007.jpg
 
May God intervene. May God do a miracle .Norin come back home safe in Jesus Mighty Name.
 
Atakuwa salama huyo ila ndo hivyo watu wanafanya yao. Mtoto kama huyo kutoka mtwara ali ng'ang'ania kwenye getto la jamaa. Nikaenda kutoa msaada kufika tu mtoto alivyo kuwa ana zungumza ikabidi nile kona
 
Ee Mungu Uliyewezesha Mke Wangu kujifungua salama umlinde Binti huyu Norin na kwa wema wako umrudishe Nyumbani salama.
 
Taarifa zitolewe polisi na vyombo vya habari haraka!

Pia ulizieni migodini, majira ya lucifer kunywa damu haya
 
Kuna kitu kinaitwa bupu yaani ni hali wanayopitia watoto wa kike ambapo anakuwa na hamu sana na akifikishwa ghetto la kijana anasahau yote. Bupu linawapata watoto wa miaka 13 mpk 15. Maelezo haya hayausiani na topiki iliyo juu nimehamua tu kutoa elimu nilikyokutana nayo mitaani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom