Arusha trip: President Kikwete to officially launch Mwl Nyerere Memorial Scholarship fund in Arusha

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
TUESDAY, NOVEMBER 20, 2012

PRESIDENT KIKWETE TO OFFICIALLY LAUNCH MWALIMU NYERERE MEMORIAL SCHOLARSHIP FUND IN ARUSHA

Untitled.png

President Jakaya Mrisho Kikwete is expected to officially launch the "Mwalimu Nyerere Memorial Scholarship Fund", which was established by the Bank of Tanzania (BoT) in 2009 in Arusha next week.

The event will take place during the BoT's 16[SUP]th[/SUP] Conference of Financial Institutions (COFI) which starts from 26[SUP]th[/SUP] to 27[SUP]th[/SUP] of November 2012, at the Arusha International Conference Centre (AICC) whose opening ceremony will also be graced by the presence of Dr. Kikwete.

COFI is a forum that was created in 1980 under the auspices of the Bank of Tanzania. It brings together, every two years, heads of financial institutions, their officials and other stakeholders to exchange views and experiences on matters related to and relevant to the financial system and the country's economy.

The theme of the 16[SUP]th[/SUP] Conference is "Financial Innovations and Financial Inclusion in Tanzania". It aims at highlighting the role of financial innovations in Tanzania in supporting financial inclusion, as well as the regulatory and monetary policy challenges arising thereof.

The BoT Governor Prof. Benno Ndulu said yesterday that, the Fund was championed by the Bank of Tanzania with a view to sponsoring undergraduate students, particularly female students who pursue Mathematics or Science subjects at their Advanced Secondary Education Level, and passed with an outstanding performance to pursue first degrees in the related fields in Tanzanian Universities.

In addition, the Governor said the Fund will also sponsor both female and male students in the fields of Economics, Information Technology, Accountings and Finance to pursue first degrees in Tanzanian niversities.
The Fund was established on 12[SUP]th[/SUP] October 2009 in commemoration of the Late Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, the Father of the Nation and an international icon.

Issued by:
Public Relations and Protocol Department
Bank of Tanzania
November 20, 2012

Hivi Rais Kikwete anapokwenda kwenye FARAGHA za Mwl. Nyerere anafurahia au anakwenda na KINYONGO?
Kwasababu kila MARA anajaribu kujilinganisha na Mw. Nyerere

Kama alivyosema kuwa Nyerere alijenga DARAJA MOJA TU; YEYE anashangaa ANAJENGA MATATU...

LAKINI yake anayoyajenga ni KWA MKOPO -- VITUKUU WAKE wataendelea kulipa hilo DENI; NYERERE yeye hakutuachia hilo DENI...
 
Hivi Arusha kuna nini? Manaake amepakomalia kwelikweli hii ni mara ya tatu anakwenda ndani ya mwezi mmoja
 
Sitaki kumtetea Kikwete maana kwangu siasa za Tanzania ni ugonjwa wa moyo tu! Lakini mkuu unauhakika kuwa hakuna miradi iliyofanywa kipindi cha Nyerere kwa mikopo ambapo deni limekuwa linalipwa vizazi na vizazi? (Refer Vita vya Uganda kumng'oa Idd Amin)
 
Hivi Arusha kuna nini? Manaake amepakomalia kwelikweli hii ni mara ya tatu anakwenda ndani ya mwezi mmoja
unakumbuka alitoka Dodoma kwenye uchaguzi akaenda Arusha kuombewa na 'viongozi wa dini', then huyooo akarudi zake Dar.
 
Mzee wa kiguu na njia.Arusha kunani kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!
 
Atakuja sana arusha mwaka huu, ila hataamini mbunge atakayeikamata arusha hivi punde.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hivi Arusha kuna nini? Manaake amepakomalia kwelikweli hii ni mara ya tatu anakwenda ndani ya mwezi mmoja

Kwani ni lazima kila mkutano ufunguliwe na Rais? wanaoandaa mikutano ndio wenye matatizo kila mkutano wanataka afungue yeye why?
 
Mwenzake Mwai kibaki JUZI kafungua THIKA-SUPERHIGHWAY ya njia nane kama hivi tanzania mtasubiri sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Thika-Superhighway.jpg
 
Sitaki kumtetea Kikwete maana kwangu siasa za Tanzania ni ugonjwa wa moyo tu! Lakini mkuu unauhakika kuwa hakuna miradi iliyofanywa kipindi cha Nyerere kwa mikopo ambapo deni limekuwa linalipwa vizazi na vizazi? (Refer Vita vya Uganda kumng'oa Idd Amin)

Acha kuota wewe, deni lote la Vita Musevi kishalipa. Hatuwadai waganda hata senti moja. tatizo lenu ni chuki kwa mwalimu, lakini nakuhakikishia Mwalimu atabaki kuwa Mwalimu hata mfanyeje!
 
Duh sijui lini atakuja Taaaarrrimee au si akawape moyo wale wapembeni mwa ziwa Nyasa.
 
Kwani ni lazima kila mkutano ufunguliwe na Rais? wanaoandaa mikutano ndio wenye matatizo kila mkutano wanataka afungue yeye why?

Na wewe unadhani kwanini wanamuandealia afungue yeye tu? Wakati mzee wa mkasi(Bilal) yupo? Alikwenda mara ya kwanza akafungua Jiji akaondoka, akaja kufungua Mandela Institute akaenda Dodoma alipotoka huko akaenda kuombewa na viongozi wa dini Arusha akaja Dar sasa hivi kaenda tena.WHY???
 
Hivi Arusha kuna nini? Manaake amepakomalia kwelikweli hii ni mara ya tatu anakwenda ndani ya mwezi mmoja
acheni udini kwani arusha ipo kenya au mnaogopa nini kwa hiyo mmeona arusha ni nchi ya slaa na mbowe.raisi tena wa tanzania haruhusiwikuja.
 
acheni udini kwani arusha ipo kenya au mnaogopa nini kwa hiyo mmeona arusha ni nchi ya slaa na mbowe.raisi tena wa tanzania haruhusiwikuja.

Wewe ndio mdini! Nani kaongelea udini hapa? Mimi nimeuliza swali la msingi kuchangamsha mjadala, jaribu uwe unafikiria kwa undani nini kilichoandikwa! There is more than what meet the eye ndugu

BTW kuweka rekodi sahihi
-I am pro CCM na nilitaka CDM wajue kuwa CCm haijalala na inafanya kila jitihada kurudisha majimbo iliyopoteza na wameanza na Arusha

-Dini yangu mpagani
 
Acha kuota wewe, deni lote la Vita Musevi kishalipa. Hatuwadai waganda hata senti moja. tatizo lenu ni chuki kwa mwalimu, lakini nakuhakikishia Mwalimu atabaki kuwa Mwalimu hata mfanyeje!

Bora useme wewe mkuu, yani sipendi sipendi watu wanaoandika uongo, kama haujui ni bora mtu aulize! Sasa deni la Kagera lipi? Wanaombeza Mwalimu ni hawa vijana wa juzi wasiojua nini kalifanyia hili taifa. Daima atabaki kua mtu anayeheshimika Afrika nzima yule mzee.
 
Back
Top Bottom