Arusha: Tetemeko la ardhi latokea. Hakuna madhara yaliyoripotiwa

Acha utani ndugu unazijua dakika 5 ww unaziskia
Tetemeko la ardhi litokee. Kwa dakika 1 tu tungeskia dar mzima hiii kama kuna maafa yametokea leo useme dakika tano haaa sema limepita sekunde 1 nasio dakika 5 hebu uliza io kitu utambiwa
Hujamuelewa, ana maanisha muda wa yeye kuripoti
 
Limepita kweli alafu limetetema kama sekunde 20 hivi
... duh! sekunde 20 ni nyingi mno kwa quake ila chache mno ukiwa umekaa na binti mrembo mnapiga stori huku mnakula pizza na fresh juice ya maana mkiangaliana kwa jicho la huba - that's the exact meaning of relativity according to the scientist of the century Albert Einstein. Sky Eclat
 
Acha utani ndugu unazijua dakika 5 ww unaziskia

Tetemeko la ardhi litokee. Kwa dakika 1 tu tungeskia dar mzima hiii kama kuna maafa yametokea leo useme dakika tano haaa sema limepita sekunde 1 nasio dakika 5 hebu uliza io kitu utambiwa
Bila shaka ww ni kilaza, hujaelewa unajidai unajua kuhoji na kukosoa, yy kasema dakika 5 zilizopita ndio tukio limetokea
 
Soma tena uelewe, amesema teteneko limetokea dakika 5 zilizopita na sio kwa dskika 5
Acha utani ndugu unazijua dakika 5 ww unaziskia

Tetemeko la ardhi litokee. Kwa dakika 1 tu tungeskia dar mzima hiii kama kuna maafa yametokea leo useme dakika tano haaa sema limepita sekunde 1 nasio dakika 5 hebu uliza io kitu utambiwa
 
Acha utani ndugu unazijua dakika 5 ww unaziskia

Tetemeko la ardhi litokee. Kwa dakika 1 tu tungeskia dar mzima hiii kama kuna maafa yametokea leo useme dakika tano haaa sema limepita sekunde 1 nasio dakika 5 hebu uliza io kitu utambiwa
Mkuu soma vizuri maandishi
 
Acha utani ndugu unazijua dakika 5 ww unaziskia

Tetemeko la ardhi litokee. Kwa dakika 1 tu tungeskia dar mzima hiii kama kuna maafa yametokea leo useme dakika tano haaa sema limepita sekunde 1 nasio dakika 5 hebu uliza io kitu utambiwa
Naona umesoma ukiwa na hofu ya kukutwa na boss wako ofisini
 
Acha utani ndugu unazijua dakika 5 ww unaziskia

Tetemeko la ardhi litokee. Kwa dakika 1 tu tungeskia dar mzima hiii kama kuna maafa yametokea leo useme dakika tano haaa sema limepita sekunde 1 nasio dakika 5 hebu uliza io kitu utambiwa
"limetokea kama dakika tano zilizo pita"

Kwenye hiyo sentensi ni nini ambacho hujakielewa ndugu?
 
Back
Top Bottom