Arusha Stadium kufurika 30/5/2015, Ni mkutano wa hadhara wa Lowassa

Status
Not open for further replies.
Friends of Lowassa kutoka mikoa mbali mbali wapo katika hatua za mwisho kujiandaa na safari ya Arusha nyumba za wageni kuanzia J5 zitakuwa zimefurika kama una mpango wa kuja Arusha ni vyema ukosogeza mbele safari yako.

Nitafurahi kuwaona jukwaani Chenge na Rostam Azizi, bila kumsahau mtaalam wao Karamagi

Kweli hii ni timu ya "ushindi wa kifisadi", na ushindi wao ni kilio kwa Watanzania.
 
Hello 4u movement friend of Lowassa.

Tunayofuraha furaha kuwatangazia wana 4u movement marafiki wa Lowassa na watanzania wote kuwa tarehe 30/05/2015 Mh Edward Lowassa ATATANGAZA NIA ya kugombea URAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uwanja wa SHEIKH AMRI ABEID ARUSHA.

Kama ilivyo ada yetu tunaombwa kujitokeza kwa wingi mno kadri tuwezavyo kumuunga mkono balozi wetu wa 4u movement kwa dhana ya kujitolea kwetu, Wale watakao hitaji kusafiri kwa Makundi wawasiliane na Macoordinator wa mikoa yao.Posho, chakula na malazi kama kawaida yetu.

Fika Arusha bila kukosa ukasikie na kuona vision ya Tanzania yenye MATUMAINI na Edward Lowassa.

Ahsanteni

Zuwena Turkey
0716965397, 0653561191
Katibu

@4u movement
# UTUMISHI
# UWAJIBIKAJI
# UMOJA
# UZALENDO
 
Hiki mnachokifanya nyinyi leo ndio kilituponza watanzania mwaka 2005 kumchagua mtu kwa mbwembwe za matangazo. Leo hii tunalia na kusanga meno. Je mnadhani watanzania tutaendelea kuwa wajinga milele? Hela tutazila lakini kura zetu atazisoma.
 
Kwa nini jamaa ameshupalia sana kutangaza nia Arusha?Kwa nini sio Dodoma, Monduli au Dar maana huko ndio ana nyumba azoishi, Arusha hakuna nyumba anayoishi au kulala sasa nini aamkie monduli aje asumbue Arusha? Homa ya Lema ndio inamsumbua na itabidi amkubali tu kuwa ndie kiongozi wake hapa Arusha.

Wewe nawe ni mvivu wa kufikiri. Monduli ipo mkoa gani?Utazaa mwaka huu. Jaribu kuzuia mafuriko kwa mkono.
 
Wewe nawe ni mvivu wa kufikiri. Monduli ipo mkoa gani?Utazaa mwaka huu. Jaribu kuzuia mafuriko kwa mkono.

kwani kuzaa ajabu, hao wa monduli ndio waliomchagua na yeye kama ana ya kuwaambia akawaambie huko mbona hakuwaleta Arusha mkoani wampigie kura huku? Kuzuia mafuriko kwa mkoni unaona ajabu? Inategemea na aina ya mafuriko hata mate yakizidi kinywani yakatoka hovyo ni mafuriko na mikoni inazuia.
 
Mikoni na mkoni ndio lugha gani? Kipare? Unafikiri wote wapare? Andika kiswahili.
 
Kwa wanaokwenda Kampala Uganda, exchanging rate imetoka 1.59 Uganda shilling hadi 1.48 Uganda shillings (mwanzo kama una 5000 ya Tanzania=7950 Uganda. Hivi sasa 5000 ya Tz unapata 7400 Uganda sh. Na bado:eek:
 
HONGERENI wapambe wa Lowassa, nachojua huo uwanja huo watajaa watu wanaoabudu ufisadi.Mafisadi oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wakuu kuna mafuriko ya ajabu mji wa arusha kutoka pande zote za nchi kumsindikiza mh Lowassa siku ya jumamosi...

Leo zimeingia zaidi ya coster zaidi ya sabini kutoka mikoa mbalimbali zilizobeba watu kwaajili ya jmos na inategemewa zaidi ya coaster 300 kuwasili zaidi kesho kutoka kila pembe ya nchi kushuhudia mwanzo wa safari ya matumaini ...nimeamini kuwa mafuriko hayawezi kuzuiwa na kidole.

Moja kwa moja tokea Arusha.
 
HKigwangalla: Katika zama hizi, ni ngumu kwa mtu mwenye mambo mengi ya kutolea maelezo kufaa kuwa mpeperusha bendera ya CCM. Tutapigwa asubuhi ya saa nne!

https://twitter.com/hkigwangalla/status/602830765370580993
 
Last edited by a moderator:

Back
Top Bottom