Arusha Sombetini: Atoweka na daftari la wapigakura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha Sombetini: Atoweka na daftari la wapigakura

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Nov 1, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  [​IMG][​IMG]Atoweka na daftari la wapigakura Send to a friend Sunday, 31 October 2010 19:21 0diggsdigg

  Zephania Ubwani, Arusha


  MSIMAMIZI Mwandamizi wa kituo cha Shule ya msingi Sombetini mkoani Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi, baada ya daftari la wapiga kura lenye karatasi 400 kupotea katika kituo anachokisimamia.

  Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Basilio Matei alisema kuwa msimamizi anashikiliwa na polisi akihojiwa kuhusiana na upotevu huo.

  Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo Estomih Chang'a alisema kuwa atatoa tamko baadaye, ingawa msimamizi huyo aliendelea kuwekwa rumande kihojiwa.

  SOURCE:MWANANCHI
   
Loading...