Arusha -Sokoni I: Diwani wa TLP afukuzwa

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Diwani wa sokoni I kupitia TLP amefukuzwa leo na cham chake baada ya kubainika kuwa kusuka uongozi wa NCCR mageuzi na kusimamisha wagombea kwa tickecket ya NCCR Mageuzi...
Labda niwakumbushe watanzania kuwa Mwaka 2010 Lyatonga Mrema mwenyekiti wa TLP alimpigia kampeni Kikwete..
 
TLP utadhani si chama cha siasa, Mrema alipopewa kiinua mgongo chake na ccm ikamweka sawa basi TLP ikawa imemaliza malengo yake ya kuwepo kama chama cha siasa.
 
Mremaccm kwishney
asubiri 2015 apigwe chini kule vunjo kwake aishe kabisa na kusahaulika kisiasa
unafiki ni kitu kibaya sana.
 
Diwani wa sokoni I kupitia TLP amefukuzwa leo na cham chake baada ya kubainika kuwa kusuka uongozi wa NCCR mageuzi na kusimamisha wagombea kwa tickecket ya NCCR Mageuzi...
Labda niwakumbushe watanzania kuwa Mwaka 2010 Lyatonga Mrema mwenyekiti wa TLP alimpigia kampeni Kikwete..

Kata inanukia hiyo daaah!!!
 
Jamani kumbukeni Mrema anaumwa kisukari. Ugonjwa huu humfanya mtu kuwa msahaulifu. Sidhani hata kama anakumbuka yeye ni mwenyekiti wa chama. Anachokumbuka ni kwamba aliwahi kuwa naibu waziri mkuu enzi za mzee ruksa.
 
Back
Top Bottom