Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,397
Uongozi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Lekule iliyopo mkoani Arusha imefuta likizo zote fupi kwa wanafunzi wake kama njia mojawapo ya kupunguza idadi ya wanafunzi wanaopata ujauzito baada ya kubainika kuwa mimba zote kwa wanafunzi zimekua zikipatikana wakati wa likizo.
Chanzo: ITV
Chanzo: ITV